Mkuu,
Swali lako ni rahisi.
Kiongozi anapotafutwa hakuna machine inayompima undani wake na malengo yake. Isitoshe Binadamu iwe kwenye uongozi biashara au shughuli yoyote inayohitaji ushirikiano mtu hupendekeza watu wake ' The Pro' umeambiwa katika Maelezo wazi na Dhahiri....Birds of the same...
Hii ni sehemu ya maoni, kuelimishana na Hoja mbali mbali.
Kwenda shule ni kutafuta ustaarabu, to co-op with the environment, how do you co-op with the environment kwa kumwambia mtu Kima?
Sote tunajua matusi, maneno ya kejeli ni marufuku katika mtandao.
To violate the rules of the media do we...
Mkuu,
Umeelezaaa...vile kichwa chako na akili zako zilivyokutuma.
It is in principle you cannot accuse a dead person because he isn't there to defend himself.
Jambo hili au malalamiko yako yalitakiwa yalengwe kwake moja kwa moja kama angelikuwa hai lakini hata angelikuwepo usingelithubutu...
Retired,
Sijui retired Wa mini, Mimi pia ni retired sasa twende mawazo ya ki retired.
Kikwete usimlaumu na hakuchonga kinyago Bali alikuwa at logger heads na Edward Lowassa na hii unajua na Lowassa CCM ilipomnyima nafasi yakuingia ikulu kwa shinikizo la kikwete akahamia upande Wa pili na bado...
Red Giant,
Wewe umezungumzia kupitia shule.
Mimi nazungumzia kwenda shule, you should differentiate the species and categories of living organisms particularly animals and birds.
In short let me not make it a class get to know that, reptiles like Komodo, Crocodiles, Alligators carry toxic biles...
Ntovye,
Ni kweli usemavyo lakini kwa kuwa mama anahidi kufuata nyayo hebu tisubiri tuone wanaojisahau na kuleta ukiritimba wao watanyooka tu.
Time is the best judge.
Red Giant,
Wewe ambaye hukudanganywa tupe review yako kwamba nyongo ya mamba sio sumu kama sio unafuata uvumi tu Wa wasomi wapumbavu.
Mimi nimeona mtu amekuwa poisoned na nyongo ya mamba tena kwa kusuuziwa tu kwenye glass na akawekewa Beer inakata utumbo kama amemeza viwembe na maiti inakuwa...
Foodmzuri,
Hakuna sumu inamuua paka Bali ni, moja tuisitoshe paka amepewa uwezo mkubwa kutambua chakula kilicho na sumu akihisi itamdhuru anaacha.
Nyongo ya mamba inaweza isimuue sababu paka pia ana nyongo Kali kwa sababu ya vitu anavyokula, mungu ana maajabu ndio sababu tunasema muache aitwe...
Mr Econometricians,
Thank you so much for tracing the real trench to know Leonard Chamuriho not like other people who gossip.
Nilisoma Chamurio 2 mkubwa akiitwa Tanu na huyu Leonard wakiwa wadogo shule ya Msingi Mirongo mwaka 1966 nikiwa Darasa VIII wao wakiwa darasa either 2 au la 3 something...
Kikwajuni,
Na wewe soma vizuri tusibishane kitu kilicho wazi.
Nakubali watuhumiwa wamekaywa airport Dar wakitoka harare, Reporter anasema, kilo 13 walizokuwa wakisafirisha KATIKA jiji la Bombay nchini India.
Katika ni Within boss wangu alitakiwa ase ...Kwenda...Bombay...
Makosa kama haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.