Habari wana JF, ni matumaini yangu makubwa muwenye afya njema , poleni kwa wale afya si njema sana Mungu awabariki napate kurudia afya zenu ilituweze kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo la nchi yetu.
siku chache zilizo pita tukio la kuugua huyunaibu wazili wa ujenzi na kupelekwa huko India...
Eebwana umejuaje nami natafta mtu,mke wa kushea naye katika haya maisha mafupi, ila niko rock city nimwajiriwa wa serikali na malizia research yangu ya masters,35 yrs.mrefu,maji ya kunde na pombe mara moja kwa mwaka.
Napata shida kidogo kuelewa kama chama cha mapinduzi katika kampeni zake hazikuwatumia hawa wabunge wawili kwenye kampeni zake na baadala yake wametumika kina Kina Magufuli na wengine, hao jamaa wamefikia katika level kubwa ya vyeo vya hali ya juu katika serikali ya Tanzania nilitegemea...
Sipati picha haya maandalizi ya Uraisi hapo 2015 kazi ipo kila mtu anajarib kuonyesha njinsi gani anaweza kuogerea ndani ya kina kirefu cha maji. six kaza mwendo.
Tanzania ni nchi ya watu wapole na wataratibu sana, wenye sifa za ubinafisi, na unafiki kikubwa ni msingi na malezi tuliopewa toka mwanzo, tukajengewa sura ya utii na uoga na waasisi wa nchi hii.kundi jingine limekuja na sura ya kutokuwa na aibu wala soni mbele za watu halina uzalendo hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.