Recent content by Ng'wanangwa

  1. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Rest in peace William. I am very sad, you know?
  2. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

    kanisa limemshinda mpaka anakula kondoo
  3. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC ndiyo inaweza kuleta vurugu Tanzania sio Vyama vya Siasa

    acha kuandika upuuzi.
  4. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini vyama vya siasa havina mabango ya kampeni mitaani ila CCM tu?

    kibaya chajitembeza.
  5. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu Tundu Antipas Lissu, mgombea bora wa urais kuwahi kutokea Tanzania

    Mzee Mkapa, RIP, pia alikuwa mahiri. anashika nafasi ya pili baada ya Lissu. nadhani ndiye mgombea pekee wa Urais kupitia CCM aliekubali kufanya mdahalo na wagombea wenzake wa vyama vya upinzani 1995.
  6. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

    Lissu yupo sahihi na anatufundisha masuala mengi.
  7. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

    wasije kumuwekea sumu kwenye MIC Rais wetu Tundu Lissu.
  8. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kata kwa Kata: Mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi Mbeya mjini, shughuli imekwisha

    Sugu Rais wetu wa kujitakia.
  9. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    anaumia mipesa yote waliyotumia kuwalipa the so called waunga-juhudi halafu CHADEMA bado tunakinukisha kama zamani. lazima watoe povu.
  10. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naona kama chama changu kimekata tamaa Dar es salaam

    segerea ipi? hayo mabango ya maccm sisi tunaona uchafu tu.
  11. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Wapumbavu sana hao wasubiri kuteuliwa u-DAS
  12. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania Hawa watu sasa wamekubali kuwa Corona imeisha?

    huna jipya.
  13. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Magufuli: Ambao Hukuwatuma, Wakikatwa Usiwabebe!

    upuuzi mwingine. jiheshimu mzee usiwe na tabia kama za gwajima. mzee ashasema hakutuma mtu hao unaosema 'ambao hukuwatuma' ulisikia wapi?
  14. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    mikoa ya kusini ni wa kuwaacha hivyohivyo bila elimu bila barabara bila hospitali bila chochote. hayo ni maisha waliyochagua ukienda ukaanza kuwahubiria elimu au kuwaepusha na kangomba wa korosho wanakuchukia na kukuletea moshi kama hivyo kwa lengo la kukudhuru.
  15. Ng'wanangwa

    JamiiForums Tanzania Pole sana Kipilimba, ilinipasa kunyamaza

    Baba Askofu anaendelea je?
Back
Top Bottom