Recent content by nguyunguyu

  1. nguyunguyu

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Kweli kabisa sijapata maelekezo mazuri yakunielewesha
  2. nguyunguyu

    JamiiForums Tanzania Nani wa kulaumiwa kwenye kufeli Kwa mitihani mwalimu au mwanafunzi

    Kati ya wanafunzi na walimu nani anakua kamfelisha mwingine? Maana mwanafunzi akifundishwa akaelewa hawezi kufeli.
  3. nguyunguyu

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Naendelea kusubiri wachangiaji wengine
  4. nguyunguyu

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Okay ahsante sana Kwa tahadhari
  5. nguyunguyu

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Ahsante Kwa mchango wako... Bado sijajua kwenye selcom
  6. nguyunguyu

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Wadau naomba ushauri, Poleni na shughuli na naomba ushauri wa namna ya biashara ya mpesa tigo pesa na airtel money... Selcom zinavofanya kazi na kianzio shilling ngapi? Nakushukuru sana Kwa kunipa ushauri wako na maarifa. Naomba kuwasilisha..
  7. nguyunguyu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Niliomba urais kujaribu, nikasukumiziwa huko

    Umenena vizuri kabisa... Maana katika perspective yangu MAGUFULI ndio best president...
  8. nguyunguyu

    JamiiForums Tanzania Kati ya Vodacom na Halotel upi mtandao mzuri?

    Halotel wapo slow sana
  9. nguyunguyu

    JamiiForums Tanzania TUNATAKA HAKI KWENYE RASILIMALI ZA NCHI

    WALIOTUFIKISHA HAPA WAKO CCM NA CHADEMA |¦| Tumuunge Mkono Magufuli Ili Watoto Wetu Wasije Kutucheka Kama Sisi Tunavyomcheka Mangungo Anayedhani serikali ya CCM chini ya Mh Magufuli haina uhalali 'legitimacy' wa kuongoza mapambano ya uhuru wa kiuchumi anakuwa hajui kwanini wananchi walimuamini...
Back
Top Bottom