Recent content by nguvunimali

  1. nguvunimali

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    😂😂😂😂pole aisee
  2. nguvunimali

    Wakazi wa Dodoma mnajitambua sawa, lakini shule ya Msingi Msangi inawaumbua upeo wenu

    Chamwino ni wilaya, hicho kijiji cha msanga ni zaidi ya kilomita 70 kutoka dom town.
  3. nguvunimali

    Wakazi wa Dodoma mnajitambua sawa, lakini shule ya Msingi Msangi inawaumbua upeo wenu

    Acha uongo ambao hauna faida. Hyo msanga au ndebwe zipo dom mjini? Mazingira ya shule, vyoo na nyumba za walimu yanafanana karibu maeneo yote ya vijijini hapa tz.
  4. nguvunimali

    Mjengwa, Mbwambo, Kubenea, Manyerere, Waandishi, walishindwaje kubaini madudu ya Bandari na TRA?

    Nyie hampaswi kuulizwa wala kukusolewa. Ikitokea hvyo, ni kuchafua waandishi?
  5. nguvunimali

    Mjengwa, Mbwambo, Kubenea, Manyerere, Waandishi, walishindwaje kubaini madudu ya Bandari na TRA?

    Nilikuwa namsikilizia JK wakati ccm wanafunga kampeni zao dar, alisema kubenea hakusomea uandishi wa habari. Kuna ukweli wowote ndani yake?
  6. nguvunimali

    Wapi alipo Maalim Seif kwa sasa?

    Kuna hii taarifa nimekutana nayo kwenye group moja hvi, sijui kama ni kweli au ni uzushi wa wahuni tuu.
  7. nguvunimali

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dr. Tulia, amteua kuwa mbunge

    Muda wa kuchukua fomu bado ni rafiki, ni kuanzia leo saa nne asbh mpaka kesho saa kumi jioni. Ngoja tuone kama atakuwa pekee...
  8. nguvunimali

    Tanzia: Aliyekuwa mbunge wa Dodoma mjini Padre Severino Supa amefariki dunia

    R.I.P father supa. Ila mtoa taarifa pamoja na maelezo yako mazuri, lakini hapakuwa na sababu ya kutoa kejeli kwa wengine.
  9. nguvunimali

    Joseph Msukuma ni nani?

    Huyo mwenzako alikuwa anataka wasifu wa mzee msukuma, we umeenda kutoa maelezo ya namna alivyoshiriki ktk harakati za EL.
  10. nguvunimali

    Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Nawewe tena umekimbika hoja😂😂.
  11. nguvunimali

    Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

    Me hapo ndipo nnapochoka zaidi. Kama hotel hyo ni binafsi, inakuwaje serikali ya ccm itoe maelekezo ya kufukuza watumishi? Inatakiwa kwanza tupate somo la uelewa wa mambo kabla ya kupost au kutoa mchango ktk majukwaa kama haya.
  12. nguvunimali

    Kwanini UKAWA hawatumii viwanja vikuu

    Kwanza ujue me sio muumini wa hoja za matusi. Hyo link uliyotuma inatosha sana wewe kuelewa nini tunachopingana coz inamengi ya msaada kwako. Wakati viwanja vingi vinajengwa vilijengwa na wana ccm wenyewe wa wakati huo. Sasa hapo cjui unabisha nini wakati thread hyo unayo.
  13. nguvunimali

    Kwanini UKAWA hawatumii viwanja vikuu

    Unajua history ya hvyo viwanja au unaropoka tu? Kirumba, amri abed na umoja serikali ilijenga lini?
  14. nguvunimali

    Kwanini UKAWA hawatumii viwanja vikuu

    Walimpora nani? Mawazo mgando hayo.
Back
Top Bottom