Kwanini UKAWA hawatumii viwanja vikuu

Kwanini UKAWA hawatumii viwanja vikuu

Wanajamvi naomba kufahamishwa inakuaje viwanja kama Samora,Majimaji,Jamuhuri havitumiwi na UKAWA badala yake kampeni inafanywa kwenye viwanja vidogo?

Kwa UKAWA hivyo viwanja ulivyotaja vingechanika vipande vipande kwa nyomi ambayo sina sababu ya kuelezea.viwanja viwafaa CCM kwa sababu wazoa watu kwa magari.
 
Walimpora nani? Mawazo mgando hayo.

Kwahyo kwa mawazo yako ambayo hayajaganda ulidhani ccm imejenga hvo viwanja?
Ccm kirumba wamejenga wao,sheikh amri abeid wamejenga wao?umoja mtwara wamejenga wao?kwa taarifa yako hvo viwanja ni vya serikali,ukawa ikiinghia madarakani vinarudi kwenye halmashauri.
 
Unajua history ya hvyo viwanja au unaropoka tu? Kirumba, amri abed na umoja serikali ilijenga lini?
 
Kwahyo kwa mawazo yako ambayo hayajaganda ulidhani ccm imejenga hvo viwanja?
Ccm kirumba wamejenga wao,sheikh amri abeid wamejenga wao?umoja mtwara wamejenga wao?kwa taarifa yako hvo viwanja ni vya serikali,ukawa ikiinghia madarakani vinarudi kwenye halmashauri.

Si vibaya kujiliwaza....
Ikulu mtaisikia tu kwa mbaali...
 
Wanajamvi naomba kufahamishwa inakuaje viwanja kama Samora,Majimaji,Jamuhuri havitumiwi na UKAWA badala yake kampeni inafanywa kwenye viwanja vidogo?

viwanja ivyo ni saizi ya udiwani sio lowasa
 
Kakojoe ulale kumbe naongea na mtoto.
Basi soma hapo ujiridhishe ujinga wako
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=375673

Kwanza ujue me sio muumini wa hoja za matusi. Hyo link uliyotuma inatosha sana wewe kuelewa nini tunachopingana coz inamengi ya msaada kwako. Wakati viwanja vingi vinajengwa vilijengwa na wana ccm wenyewe wa wakati huo. Sasa hapo cjui unabisha nini wakati thread hyo unayo.
 
Back
Top Bottom