Recent content by NGUVUMOJA

  1. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda: Tumeongeza kodi kwenye mitumba na itapigwa marufuku ndani ya miaka mitatu

    Moja kati ya muendelezo wa maamuzi yasiyo sahihi.
  2. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda Atangaza Zawadi ya Milioni 1 Kwa Askari Polisi

    Hizo pesa atazitoa kwenye fungu gani? Au atapunguza mshahara wake?
  3. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Bi. Asha B. Makame afariki dunia

    Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajiuun Sisi Sote Ni Waja Wa MWENYEZI MUNGU Na kwake Tutarejea
  4. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Eliakim Maswi aondolewa TRA na kupelekwa Manyara kuwa Katibu Tawala Mkoa (RAS)

    kuna kitu, sio bure.
  5. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Matumizi mabaya ya Ofisi: BAKWATA yamsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala

    Ni wakati wa mabadiliko ya kweli.
  6. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Kampeni ziliisha na yeye akaishia hukooo!!!
  7. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Vijana walikaririshwa kwamba tatizo ni Mfumo!!!

    Hahaha yaani mpaka sasa kuna watu akili mgando wanaamini kuwa mamvi na yule mwenzake eti wangewafaa
  8. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Kwa Kikwete ni makosa, kwa Lowassa ilikuwa sahihi!

    Lowasa anawangoja mkamfagilie barabara za monduli ikiwezekana mpigieni na deki kabisa eeeehhhh???
  9. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Fedha za hafla ya Bunge zinunue vitanda Muhimbili

    Hata hizo zilizotumika mil 24 bado ni nyingi saaana. Ilitakiwa wanunuliwe chupa za maji ya kunywa tu zingewatosha. isingezidi laki 2 tu.
  10. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tutakavyomkwamisha Dk. Magufuli

    Akili za kushikiwa aka akili mgando
  11. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

    Tuviache vyombo vya vifanye kazi yake, kulia lia kwa nembo ya upinzani haisaidii
  12. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Nilichofanya leo Mlimani City

    Ulichoogopa kwa huyo jamaa ni hizo ndevu zake? Maana kama ni picha na weye umepiga tena nyingi tu.
  13. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Edward Lowassa awe Mwenyekiti wa CHADEMA

    unaleta choko choko ndani ya chama eeeehhhh. unadhani mbowe ataachia usukani? kazi aliyopewa mamvi na wenzake kina sumaye ilishaisha
  14. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Upinzani umeshakuwa sasa tufute ruzuku

    Pesa za walipakodi zirudi kwa wananchi, wanachama warudishe ari ya kujitolea kwa moyo safi, sio kwa posho.
  15. NGUVUMOJA

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa aliipatia CHADEMA wabunge zaidi ya 30, Lowassa ameipatia CHADEMA wabunge 22

    mbowe alicheza kamari bahati yake visenti vyake havikuliwa, vikaliwa visenti vya mamvi tu.
Back
Top Bottom