Recent content by nguvila

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hesabu za ushindi wa majimbo 3 hizi hapa

    Tafuta kazi nyi fine ya kufanya achana na huu ujinga ulouleta hapa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hesabu za ushindi wa majimbo 3 hizi hapa

    Tafuta kazi nyingine ya kufanya, achana na huu ujinga uloleta hapa
  3. N

    JamiiForums Tanzania CUF Lipumba yakiri aliyekatwa kisigino ni mlinzi wa chama

    True..... May be kuna mtu mzito nyuma yao
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msukuma live tena Star tv siku ya leo

    Halafu nasikia eti alikuwa mtumishi wa Mungu"mhubiri wa injili" ni kwel?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Padri Mapunda akosolewa vikali baada ya kumshukia Rais Magufuli

    Ww mwnyewe biblia huijui, eti nabii Mus a alimkosoa Mungu, wapi pameandikwa ivo Km rais kakosa hekima na busara asiambiwe? Padri yuko sahihi tena km kiongoz wa dini lazima akemee viongoz wa nchi wanaotuongoza km ng'ombe, ss ni binadamu tena huenda tumemzidi hata ufahamu wake, anatakiwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rungu la TCRA lawashukia tena Clouds Media na ITV

    Kwani kuvaa pempus ni kosa c vazi la kujisitiri, au mi siijui nn hyo pempus......... Naona maneno ya mchungaji yamewachoma magamba kwl
  7. N

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Nimesoma hapo tu "makosa 10 aliyofanya Mungu, nilichunguza kwa makini hlo neno mungi alivoliandika limeanza na herufi kubwa yaani (Mungu)nikagundua anamzungumzia Mungu alieziumba mbingi na nchi. Kwa taarifa tu ndg umetenda dhambi kubwa mno, bila shaka yyte ww unauhusiano mkubwa sana na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Singida: Tundu Lissu(MB) akamatwa na Jeshi la Polisi, Kusafirishwa kupelekwa Dar haraka!

    Unaongea nn ww, km ww unajua maana halisi ya udictator eleza hapa, au huo udictator unakanuni km math
  9. N

    JamiiForums Tanzania Singida: Tundu Lissu(MB) akamatwa na Jeshi la Polisi, Kusafirishwa kupelekwa Dar haraka!

    Kinachoonekana serikali hii ya awamu ya 5 haipendi kukosolewa, wanapenda kusifiwa tu na kupigiwa makofi hata wakifanya mambo ya kipuuzi Mbona mzee wa msoga alionyesha ukomavu wa kisiasa?amepigwa madongo lkn aliendelea tu na mambo yake, tena ukimkuta kwnye mikutano na makongamano mbalmbal...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    Pasco,uliyoeleza ni mambo ya msingi sana,lkn kwa mujibu wa katiba yetu tuliyonayo mi naona Rais yuko juu ya sheria Kwnza cjui km tuna mahakama ya katiba!!!!,kwa udhaifu wa katiba Magufuli anaweza kusema lolote na ucwe na mahali pa kumhoji zaidi ya mtandaoni km hapa,tena ukifanyamchezo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Jmn hata kumbukumbu ya bajeti za serikali yetu kwa miaka mingi ss hatuikumbuki???hii ni ajabu kuona eti kuna mtanzania anawezaa puuza walichokifanya MCC Asilimia kubwa ya bajeti ya serikali inategemea misaada kutoka kwa wahisani!!!leo MCC wamejitoa kutokana na kukanyagwa kwa demokrasia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    R I P Mawazo,uwanja ulibubujikwa na majonzi baada ya mw,kiti wa chadema Arusha kutoa taarifa za kifo cha Mawazo tulipokua kwnye mkutano wa kampen jimbo la Arusha mjini,wtu wte walidondosha chozi kwa ajili ya mawazo,lkn machozi haya hayatamwagika bure,yatarudi na majibu chanya.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutoa tamko zito Jumamosi katika Ufunguzi wa Kampeni Jijini la Arusha

    Km unafikiri ni ukabila na ww njoo uwe kabila letu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutoa tamko zito Jumamosi katika Ufunguzi wa Kampeni Jijini la Arusha

    Mi naona watu wanatokwa povu tu kuhusu Arusha,nawaambia kikwete c kamaliza mda wa urais? Mleteni A.city,au ok tafuten yyte mnaemwamin kuliko wte pale ccm aje agombee hapa A town cc tutaweka mbuzi,akishinda,kiama imefika.
Back
Top Bottom