Mmiliki wa hii Pub hapa Iringa ana kazi kubwa ya kufanya. Niko hapa saa hii, huduma ni Mbovu ajabu, wahudumu wana lugha za ajabu na dharau hadi unashangaa.
Kama ilivyo kwa Liquor store nyingi, wameweka muziki wa Bluetooth, ila wanashindwa ku-control. Yaani mteja kwa sababu kaja pub mapema...