Recent content by Ngurufu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dr Mashinji: Magufuli heshimu wataalamu na utaalamu

    Zika ni endemic Tanzania
  2. N

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

    Kafulila meoyesha ukomavu wa kisiasa, hope na wengine watatambua kuacha kutumika kugawa nguvu ya upinzani
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

    Aisee watu wametokota mapema sana. Kama hizo tuhuma za JM ni za kweli anatakiwa kukaa nje ya serikali haraka sana.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe tumekusikia, Sasa tuambie ukweli kuhusu ile siri mliyoificha kuhusu Richmond

    [ Lakini Mwakyembe katika ile taarifa alisema wazi kwamba "tumeamua kuishia hapo kwa heshima ya serikali". Unaweza kutambua na kubaini alichokisema Jana Lowasa Kwamba mamlaka ya juu ilimuamuru kukubaliana na mkataba na hiyo mamalaka ndiyo ambayo haikusemwa na tume kwa heshima ya serikali...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Hebu Watanzania tujaribu kuwa watu wa kufikiri juu ya haya yanayotokea nchini bila kuyajibu kwa ushabiki. Nimesoma comments nyingi za humu nikiamini kwenye kundi hili kuna watanzania wenye uwezo wa kutafakari kabla ya kurusha hizi comments. Hatuwezi kutumia mda wetu mwingi kujadiri report ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam-Kinshasa Railway lazima ijengwe

    That's a great idea,we still have more economically strong neghbours to corporate with for our remarkable economic growth rather than a micro country like Rwanda. I suggest we don't waste our time thinking about that insteady strengthen our political and economic plans with countries which will...
  7. N

    JamiiForums Tanzania RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    MMh mimi ninavyo kutazama katika ulichokiandika nikwamba wewe rasimu yenyewe hujaielewa na possibly wewe ni slow learner....Anyway hii rasimu inaelezea wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano na sio Tanganyika wala Zanzibar
  8. N

    JamiiForums Tanzania RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    Wewe ya wezekana siLukosi bali Xhang
  10. N

    JamiiForums Tanzania Slaa sisi ni watu wazima na timilifu

    Mwenye hii thread jifunze kutafakari jambo kabla huja repost.........u're esposing ur ignorance un necessarily
Back
Top Bottom