Recent content by Ngunja.com

  1. Ngunja.com

    JamiiForums Tanzania Stephen Wassira: Mwanasiasa mwenye msimamo thabiti

    HAPA PIGA DEBE TU MAANA UMEAHIDIWA ILA KUHUSU performance Za WASIRA HAZIPO TU MAANA UKISEMA POOR LABDA ZILIKUWEPO HUYU JAMAA HANA KABISA ALICHOKIFANYA LABDA KUBA.......
  2. Ngunja.com

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya DC Kilwa yateketea kwa moto

    Wote ni wale wale acha iugue
  3. Ngunja.com

    JamiiForums Tanzania Stephen Wassira: Mwanasiasa mwenye msimamo thabiti

    Sio kwa uwezo wake yeye alishachemka na alishaanza kutoa kauri za kuchochea mfano: WAISLAM NDIO WENYE HAKI YA KUCHINJA. bila kuangalia MOTO ukoje hadi MAASKOFU NA MAPANDRE na VIONGOZI WENGINE WA DINI WALIPOANZA KUMLAUMU WASILA NA KUAHIDI ATASHITAKIWA. Ndipo Baadhi ya Mashekhe nao wakadakia na...
  4. Ngunja.com

    JamiiForums Tanzania Stephen Wassira: Mwanasiasa mwenye msimamo thabiti

    Katumwa kumtangaza hahahhahah Rais wa bunda au??? Aliambiwa akasovu mgogoro wa KUCHINJA MWANZA alichokifanya yeye bila kutumia busara na strategies za kutatua migogoro akaenda kuchochea (FUEL) mgogoro halafu sasa anataka Urais daaaaaaa!!! FAST JET KAFANYA NAFASI YA URAIS IONEKANE RAHISI SANA...
  5. Ngunja.com

    JamiiForums Tanzania Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

    Afadhari kafukuzwa maana hana mchango wowote anachojali na MAFANIKIO YAKE TU
  6. Ngunja.com

    JamiiForums Tanzania RFA mnakera mnafikiri WANANCHI hawajui kinachoendelea kati ya CCM na CDM

    Mtoa maada nimeipenda kwakweli maana nimefuatilia tangu juzi jamaa wanaeneza chuki miongoni mwa wananchi wa Tanzania kwa sababu hawapambanui vizuri habari zao wanabase upande mmoja. Maana wanaposema "MUEENDELEZO WA MATUKIO" walitakiwa waweke sawa kauri zao matukio gani na ya mwanzo yalikuaje...
  7. Ngunja.com

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Jk aungwe mkono na kila chama

    Huo ni mtego kwa KIKWETE coz hawezi kutekeleza anachokisema ili baadae akosolewe ipasavyo Pia CCM wanataka wapitishe katiba inayojali maslah ya chama chao hivyo basi KIKWETE anapoigiza kusema maneno ya busara wakati hatekelezi lazima aungwe mkono ili baadae maneno yake mwenyewe yamuhukumu...
  8. Ngunja.com

    JamiiForums Tanzania Mtwara kuchele!

    HUU NI UNAFKI TUNASUBIRI KIUMBE YEYOTE ATAKAE TANGAZA NIA YA KUGOMBEA NAFASI YEYOTE ILE TAARIFA ITAFIKA KILA KONA YA TANZANIA NA DUNIANI KOTE MUULIZE DIAMOND KAFANYWAJE NI JUZI TU inarillah waillaillaih Rajiuni CCM ni MSIBA na ni gundu hatutaki hakika hatuitaki CCM
  9. Ngunja.com

    JamiiForums Tanzania Mtwara kuchele!

    Hatuitaki CCM umesikia kilichomkuta DIAMOND juzi HADI SASA TUNASUBILI YEYEOTE ATAKAE TANGAZA KUGOMBEA CCM APEWE DAWA kama wewe ni CCM jalibu uone
  10. Ngunja.com

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Muwekeni RICHMUNDULI muone asubuh mapemaaaa tunaingia MAGOGONI
  11. Ngunja.com

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Usalitu ni sumu kwa jamii let us show how we do CHADEMA
Back
Top Bottom