Stephen Wassira: Mwanasiasa mwenye msimamo thabiti

Stephen Wassira: Mwanasiasa mwenye msimamo thabiti

ninachoona hapa ni ushabiki na hoja mfu, tangaza nia ya kugombea ili ushindane na wassira uone utakavyoabika.

Wassira ni moto wa kuotea mbali, mwelevu,mweledi,na bingwa wa siasa za majukwaani, akiweka jina 2015 kwenye kapu kuu lazima watafutane.
naona wasira kawapandishia mishahara ma-shamba boi wake,kawanunulia na simu zenye internet, haya endelea kusifia janga eti nae ni the best,kajaa maneno tupu ambayo hayamsaidii mwana bunda,n
 
nimepita huko si muda mwingi uliopita,nilichoona ni umasikini uliokithiri,mtu aliyefika bunda mwaka 1990 hataona tofautikubwa katika maisha ya watu,wengi ni maskini wa kutupwa ndio maana hata wasira kaamua kujenga dar tu,zaidi ya nyumba yake ya virian na manyamanyama, nyingine zote ziko dar likiwemo duka lake la kuuza samaki lenye ghorofa moja,kaiacha bunda maskini hata mwibara ikiwa wilaya itaipita bunda

Kumbe hujui unalolisema. Wassira kajenga nyumba nzuri ya kuishi yenye hadhi yake hapa Bunda eneo la Chiringe "A" karibu na Shule ya Sekondari Bunda Day. Haitaji kuwa na nyumba zaidi ya hiyo kwa sababu utamaduni wa kujilimbikizia mali haujamkuza. Ni mwepesi kutosheka.

Sisi tunaoishi Bunda tunaona mabadiliko makubwa kiuchumi na kijamii ikilinganishwa na enzi za Jaji Warioba na wenzake wengine walipokuwa wabunge wa Bunda.

Bunda ya sasa imepiga hatua nzuri katika maendeleo ya Elimu, Afya, Maji, Barabara nk. Mfano, katika Afya, Wassira kaiwezesha Bunda kuwa na Hospitali ya Wilaya (Manyamanyama) lakini wakati huohuo bado serikali ina mkono wake katika Bunda DDH. Hapo Bunda tunakula double! Kuna mradi mkubwa wa maji wa Nyabehu utakaomaliza shida ya maji Bunda nk
 
kwa lugha hii uliotumia unadahani nani kati yako wewe na yeye(wassira) nani kaonenekana mropokaji na mjinga? Ni vyema uwe unafikirikwanza kabla ya kuandika.

Unaemsema hivyo ni mbunge anaechaguliwa na kushinda mara nyingi katika jimbo lake na isitoshe kuna tetesi anaweza kuwa mgombea urais 2015 kupitia ccm.
Jitafakari.

sio tetesi, huyo ndiye chaguo la watanzania kwa nafasi ya rais 2015. Taasisi ya urais siyo ya kufanyia majaribio hata kidogo. Tunahitaji kiongozi aliyekomaa kifikra na mwenye busara. Wassira anatosha! Ukitaka kujua huyu jamaa anavyokubalika katika maeneo mbalimbali rejea ushindi wake wa kishindo kwenye nec na jinsi alivyotinga cc. Huyu hana udini, ukabila wala tabia ya kujilimbikizia mali. Wassira siyo mwanasiasa uchwara
 
kumbe hujui unalolisema. Wassira kajenga nyumba nzuri ya kuishi yenye hadhi yake hapa bunda eneo la chiringe "a" karibu na shule ya sekondari bunda day. Haitaji kuwa na nyumba zaidi ya hiyo kwa sababu utamaduni wa kujilimbikizia mali haujamkuza. Ni mwepesi kutosheka.

Sisi tunaoishi bunda tunaona mabadiliko makubwa kiuchumi na kijamii ikilinganishwa na enzi za jaji warioba na wenzake wengine walipokuwa wabunge wa bunda.

Bunda ya sasa imepiga hatua nzuri katika maendeleo ya elimu, afya, maji, barabara nk. Mfano, katika afya, wassira kaiwezesha bunda kuwa na hospitali ya wilaya (manyamanyama) lakini wakati huohuo bado serikali ina mkono wake katika bunda ddh. Hapo bunda tunakula double! Kuna mradi mkubwa wa maji wa nyabehu utakaomaliza shida ya maji bunda nk

ile kampuni ya fedha iitwayo blue financial services kaifunga? Maana imetapeli waalimu na watumishi wengi wa umma,mtaji wa kuifungua a na kufungua matawi nchi nzima aliupata wapi? Au ndio...
 
Wasira hana lolote zaidi ya kulala bungeni na ubabe bkiojiwa dk45. anawatisha watangazaji.Bunda kama wilaya ni mabanda ya hovyo stend mpya kama josho.Nyasura maji ya vidimbwi.Kabalimu huwezi kutofautisha kijiji na wilayani.
 
Mkuu,

Huyu ni Mzee wa HOJA ya NGUVU badala ya NGUVU ya HOJA!
 
ile kampuni ya fedha iitwayo blue financial services kaifunga? Maana imetapeli waalimu na watumishi wengi wa umma,mtaji wa kuifungua a na kufungua matawi nchi nzima aliupata wapi? Au ndio...

Kumbe unaandika usilolijua kwani Blue Financial Support haijawahi kuwa na unasaba na mhe. Wassira. Angalia usije ukaandika pia kwamba alikuwa anamliki Ndege Insurance Brokers maana naona unaelekea huko. Lakini pia mbona kuna makampuni mengine yanafanya biashara hiyo hujayaulizia? Mfano Bayport (T) Ltd, Lutishego/Faidika, Tunakopesha, Instant Credit, Maboto Enterprises, Maswi Investment, Platnum nk. Zaidi, kama kampuni hiyo ilikuwa Limited, mambo yake hayawezi kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na mhe. Wassira.
 
...natafuta pa kutupa hizi takataka...
 
Wasira hana lolote zaidi ya kulala bungeni na ubabe bkiojiwa dk45. anawatisha watangazaji.Bunda kama wilaya ni mabanda ya hovyo stend mpya kama josho.Nyasura maji ya vidimbwi.Kabalimu huwezi kutofautisha kijiji na wilayani.
Tatizo lako naona somo la utafiti ulipata division five, kuna Halmashauri gani tofauti na zile za majiji na Manispaa zenye Magorofa?
Kwani Bunda inatofauti gani na wilaya au miji midogo mingine? Nini unadhani kinakukera ukilinganisha na uchumi wa nchi yetu ilivyo?

Wassira katika kipindi hiki cha ubunge wake 2005 mpaka sasa kawezesha kupata Mamlaka ya mji mdogo wa Bunda na sasa mchakato uliopo ni kuufanya Mji wa Bunda kuwa mji kamili kama ilivyo Tarime na maeneo mengine.

Maeneo mengine kama vile Nyamuswa kwa Kasi ya utendaji wa Wassira zinafikiriwa kuwa Mamlaka ya Mji mdogo na masuala haya yamekwishajadiliwa na yapo hatua nzuri.
Mwenzetu uko wapi?
Kwa ufupi kazi nzuri ya Mbunge wetu na Waziri haiwezi kufanyiwa tathimini kwa mistari 6 hapa mtandaoni.
 
Katumwa kumtangaza hahahhahah

Rais wa bunda au???

Aliambiwa akasovu mgogoro wa KUCHINJA MWANZA alichokifanya yeye bila kutumia busara na strategies za kutatua migogoro akaenda kuchochea (FUEL) mgogoro halafu sasa anataka Urais daaaaaaa!!!

FAST JET KAFANYA NAFASI YA URAIS IONEKANE RAHISI SANA HADI WASIRA JAMANI!!!!!
 
hahahahahaha" mkuu! huna habari kuwa huyo "SMW" mwisho wake umekaribia" kuna mpango mkakati wa kumng'oa huyo "SMW" mwaka 2015 kwenye uchaguz mkuu" na mbadala yake awe ni ESTER BULAYA"

Esta Bulaya ni nani?
Huyu binti anayejihusisha katika mapenzi ya jinsia moja na Halima Mdee?
Itakuwa ni dharau kubwa sana kwa wanaume wa Mkoa wa Mara.
Kama msindikizaji sawa.
 
Katumwa kumtangaza hahahhahah

Rais wa bunda au???

Aliambiwa akasovu mgogoro wa KUCHINJA MWANZA alichokifanya yeye bila kutumia busara na strategies za kutatua migogoro akaenda kuchochea (FUEL) mgogoro halafu sasa anataka Urais daaaaaaa!!!

FAST JET KAFANYA NAFASI YA URAIS IONEKANE RAHISI SANA HADI WASIRA JAMANI!!!!!

Kwahiyo nani alihusika kuutatua mgogoro huo kama si Wassira mwenyewe?
Ofisi yake ndiyo inayohusika na masuala hayo, kwasasa unasikia mgogoro wa uchinjaji tena?
Migogoro ya udini imepungua kama sio kuisha kabisa Hiyo ni kazi nzuri ya Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu.
 
Sio kwa uwezo wake yeye alishachemka na alishaanza kutoa kauri za kuchochea mfano: WAISLAM NDIO WENYE HAKI YA KUCHINJA.

bila kuangalia MOTO ukoje hadi MAASKOFU NA MAPANDRE na VIONGOZI WENGINE WA DINI WALIPOANZA KUMLAUMU WASILA NA KUAHIDI ATASHITAKIWA.

Ndipo Baadhi ya Mashekhe nao wakadakia na kuweka mambo sawa kua ni kweli WAISLAM tunahaki ya kuchinja ila WASIRA ametoa kauri kama alilala akamka haraka na kuongea bila juangalia hali ikoje walidai hakuandaa mazingira ya kuamua nani anahaki ila wao welevu ndio wamesovu sio WASIRA.

NB:
TUACHE KUZUNGUMZIA UISLAM NA UKRISTO
MAANA SIO MAADA ILIOPO MEZANI NILIKUA NAKUPA MIFANO AMBAYO NI FACT MGOMBEA WAKO ALIOCHEMKA MCHANA KWEUPEEEE AMBAYO ILIKUA INAHITAJI AKIRI NDOGO TU KUTAMBUA PSYCHOLOGY ZA WAHUSIKA ZIKOJE NA YEYE AANZE WAPI.
 
Unajaribu kujenga hoja iliyokufa, nauliza nitajie mtu mmoja tu aliyehusika kutatua mgogoro huo mzito, hao Maskofu na Mapdre na Mashehe watakuona mtu wa ajabu kama utabeza mchango na jitihada za Wassira katika hili.

Nashukuru umejitambua kuwa sio ajenda tena kwakuwa Mwenyewe alishalimaliza na halipo tena.

Watu wa namna ya Wassira ni wachache sana hapa Tanzania, ndio maana anajadiliwa kupewa mikoba kulisukuma jahazi la nchi yetu hapo mwakani.

Hatupendi uchochezi,Nchi yetu ni moja,mshikamo na uadilifu wetu ndio maendeleo yetu.
 
HAPA PIGA DEBE TU MAANA UMEAHIDIWA ILA KUHUSU performance Za WASIRA HAZIPO TU MAANA UKISEMA POOR LABDA ZILIKUWEPO HUYU JAMAA HANA KABISA ALICHOKIFANYA LABDA KUBA.......
 
HAPA PIGA DEBE TU MAANA UMEAHIDIWA ILA KUHUSU performance Za WASIRA HAZIPO TU MAANA UKISEMA POOR LABDA ZILIKUWEPO HUYU JAMAA HANA KABISA ALICHOKIFANYA LABDA KUBA.......

Ushauri wangu kwako wewe dada kama bado una hangover za Jana, endelea kulala ili ukiamka utachangia mada ukiwa na sober brain, kwasasa Naona unaandika sentensi hazifiki mwisho.
Wakati unapumzika nakukimbusha tu kuwa Wassira ni kama upepo hauzuiliki.
 
Yah, mkuu unalolisema ni sahihi kabisa, si unaona huu msimamo wake thabiti hapa chini?
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    9.7 KB · Views: 58
Alijenga hoja madhubuti kwa Baba wa Taifa na kukubali kuanzisha wilaya ya Bunda yenye majimbo mawili.

Miradi ya maendeleo jimbo la Bunda,Maji,Afya,Kilimo na Barabara.
Katila wizara zote alizoongoza amekuwa mwadilifu,mzalendo na mtekelezaji.

Kutokana na takwimu za Taifa (unaweza kuzipata tovuti ya NBS) wilaya Bunda ya PILI kwa masikini Tanzania. Pili mheshimiwa Wassira alishawahi kupatikana na kosa la kutoa rushwa mbele mahakama kuu. Unaweza kuupata ukweli huu ukirejea kesi ya Warioba V Wassira. Watanzania nawaasa mjitahidi kuwa mnautafuta UKWELI. CCM hii tunayoifahamu haiwezi kuwaletea ukweli katika kisahani cha dhahabu. Vinginevyo 2015 tutauziwa mbuzi kwenye gunia!!
 
Esta Bulaya ni nani?
Huyu binti anayejihusisha katika mapenzi ya jinsia moja na Halima Mdee?
Itakuwa ni dharau kubwa sana kwa wanaume wa Mkoa wa Mara.
Kama msindikizaji sawa.

umejuaje? huwa0 unapiga chabo dirishani?ukiwa unapiga chabo lazimma kuna dume anahema nyuma yako anakuchungulia
 
Wote mnaobeza uwezo wa wasira ni mambumbumbuu, njaa na makundi yana wasumbua, madisadi.
Kama haufahamu subiri ufahamishwe wasira ni nani mnakuja na hoja kuwa ana lala? Kila binadamu lazima alale yaani kumzika nawafananisha na chichidodo mdudu anaye chukia kinyesi lakini anakula funza watokao na kinyesi kifupi anakula kinyesi.
Wasira anauwezo mkubwa hatamvutano huu wa kanuni za bunge la katiba kawa ndiye mweka mambo sawa mpaka sasa na kama haujui na hilo usisemeneno.... wassira kwa vijana wenye uwezo na hasa wasomi, maproff,dr,makatibu wakuu na wakuu waidara wanamzungumza vizuri sana wasira.
Ila sijui kama atagombea basi kutakuwa na mvutano mkubwa na anauwezekano wa kushinda.
 
Back
Top Bottom