MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Kuna maslah kaka. Mmiliki wa RFA ni mwenyekiti wa CCM mwanza. Hapo usitegemee wafanyakazi wawe na damu ya CDM
Ungeiongelea na ITV/RADIO One wanavyorusha Matangazo ya chama Chao cha kaskazini muda mrefu!
Usishangae mkuu Star TV na RFA inamilikiwa na kada WA CCM
Kila kwamba ngoma ngozi huvutia kwake.
Jana asubuhi katika kipindi cha magazeti mtangazaji alisoma maoni ya mhariri yanayohusu kukamatwa kwa Msigwa na Kasulumbayi kwamba wamefanya vurugu.
Na leo pia katika kipindi hicho hicho kafanya hivo kwa kusoma maoni katika katika gazeti la Mtanzania mhariri akiwaponda wabunge wa CHADEMA waliokamatwa.
Kama hiyo haitoshi leo katika kipindi cha MATUKIO ikaripotiwa habari ya wanachama wa CCM waliojeruhiwa wakiwa hospitalini lakini cha kilichonishangaza ni pale watangazaji walipoanza kuikoleza hii habari kwa kuunga mkono kauli ya mwenyeketi wa CCM-Shinyanga ili kuisafisha CCM na kuiharibu taswira ya CHADEMA.
Maswali yangu kwa RFA:
1. Hamkuona Machemli na Kiwia (wabungu wa CHADEMA) hapo mwanza walipokatwa mapanga? Mbona hamkufanya hivo?
2. kule arusha bomu lilirushwa mkutanoni (CHADEMA) lakini hamkwenda Mount meru wala Seliani?
3. Aliuawa Masud Mbwana huko Igunga kwenye kampeni, lakini ninyi mnaona vurugu akiumia wa CCM?
Maoni yangu:
Ni bora mkafanye kazi za CCM kuliko kuwa chombo cha habari bila kuwa biased kuliko kueneza propaganda chafu dhidi ya CHADEMA.
Kupitia RFA Mgeja anasema vyama vingine vinashindana kwa hoja, sasa mimi naona chama kizuri kwa CCM ni ambacho hakina nguvu. Tunakumbuka NCCR na CUF walivopakaziwa uchafu wa kila aina lakini leo Mgeja anasema ni vya kistaarabu?
Kama RFA mnaona propaganda zina msaada mbona Anton Diallo mwenye redio hamkuweza kumnusuru 2010?
Mwisho kabisa nasema endeleeni kutumika ila tutawaonyesha njia.
Njaa ndg yangu njaaa! Mtu mwenye njaa atafanya lolote ili mradi apate chochote kitu. Hao wantekeleza tu maagizo ya mabwana zao ili mishahara isikosekane.Huwa inni shangaza tu kuwa ni wanaume wa aina gani hawa wasioweza kufikiri kipi ni kwa manufaa ya nani, athari ya nini ni ipi? au walau hii inaniweka kwenye watu kunionaje mimi!Jana asubuhi katika kipindi cha magazeti mtangazaji alisoma maoni ya mhariri yanayohusu kukamatwa kwa Msigwa na Kasulumbayi kwamba wamefanya vurugu. Na leo pia katika kipindi hicho hicho kafanya hivo kwa kusoma maoni katika katika gazeti la Mtanzania mhariri akiwaponda wabunge wa CHADEMA waliokamatwa. Kama hiyo haitoshi leo katika kipindi cha MATUKIO ikaripotiwa habari ya wanachama wa CCM waliojeruhiwa wakiwa hospitalini lakini cha kilichonishangaza ni pale watangazaji walipoanza kuikoleza hii habari kwa kuunga mkono kauli ya mwenyeketi wa CCM-Shinyanga ili kuisafisha CCM na kuiharibu taswira ya CHADEMA.Maswali yangu kwa RFA:1. Hamkuona Machemli na Kiwia (wabungu wa CHADEMA) hapo mwanza walipokatwa mapanga? Mbona hamkufanya hivo?2. kule arusha bomu lilirushwa mkutanoni (CHADEMA) lakini hamkwenda Mount meru wala Seliani?3. Aliuawa Masud Mbwana huko Igunga kwenye kampeni, lakini ninyi mnaona vurugu akiumia wa CCM?Maoni yangu: Ni bora mkafanye kazi za CCM kuliko kuwa chombo cha habari bila kuwa biased kuliko kueneza propaganda chafu dhidi ya CHADEMA.Kupitia RFA Mgeja anasema vyama vingine vinashindana kwa hoja, sasa mimi naona chama kizuri kwa CCM ni ambacho hakina nguvu. Tunakumbuka NCCR na CUF walivopakaziwa uchafu wa kila aina lakini leo Mgeja anasema ni vya kistaarabu?Kama RFA mnaona propaganda zina msaada mbona Anton Diallo mwenye redio hamkuweza kumnusuru 2010?Mwisho kabisa nasema endeleeni kutumika ila tutawaonyesha njia.
Sasa nyie kila chombo ni adui wenu....clouds, star tv na RFA, TBC na TBC 2........si msusie kusikiliza, mbona bungeni mnasusa na kutoka nje....na mmeshatishia kususia bunge la katiba......mazoea ni kama tabia......so endelezeni uchadomo.
1. Sandu George (kid bwoy)
2. Fredrick Bundala
3. Glory Robinson (mtoto wa mama sabuni)
5. Fred Fidelis (fredwaa)
6. Rahab Fred
7. Sam Kiama (uncle Sam)
8. Baruan Muhuza
9. Yahya Mohamed
10. Ezden the rocker
11.Irene Tilya
12.John Karani
Hii list yote ni watangazaji waliopukutika ndani ya miaka miwili iliyopita katika kampuni moja na ndio ilikuwa inakimbiza sio mchezo. Inawezekana pana kiti kimejificha pale.
Binafsi sikushangaa kwa kuwa kati ya watangazaji waliondesha mjadala huo leo asubuhi ni somebody Azaria ambaye ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM mkoa wa GEITA huyu hata kama ni mwandishi hawezi kubalance anaongozwa na utashi wa kisiasa.
Diallo hayuko hivyo. Kati ya wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania ambaye anawapa uhuru waandishi na watangazaji Diallo ni mmoja wao. Tatizo ni kutojiamini na kujipendekeza. Watangazaji wenyewe wanadhani wakifanya hivyo wanamfurahisha Diallo, hawawafikirii wasikilizaji wao. Ni udhaifu wa waandishi na watangazaji wa Tanzania. Diallo hana ushawishi wowote kwa wanahabari wake. Hata mtu akilalamika kasemwa vibaya na vyombo vyake, Diallo huwa anawashauri walalamikaji kuwaona wahariri husika ama waandishi, basi. Amewapa uhuru wa kupindukia watangazaji na waandishi wake lakini kutojiamini ndo kunawapeleka huko hadi kufikia wasikilizaji kufikiri kwamba ni sera ya Star tv au RFA.TANZANIA DAIMA limewaathiri sana.
Hicho chombo cha habari cha ccm tena vipo vingi na waandishi chumia tumbo wasio penda leta amani.watanzania tujihadhari na hao vibaraka