Recent content by Ngunguu

  1. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Je bukoba
  2. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo bukoba mimi nije dar, pwani moro
  3. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania Mchawi utamjua tu

    Hahahahaa
  4. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    kwa jinsi ulivyo uliza hayo maswali inaonyesha wazi kabisa unafaa kuendelea kubaki huko huko ulipo maana hata ukienda chadema ipo siku utawauliza maswali kama hayo kwa wengine, hufai kuigwa na jamii
  5. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania Katiba Inayopendekezwa si ya CCM

    Siyo april 30 kaka alafu usitufundishe, tuneisoma tumeielewa na tutajua la kufanya sisi wenyeweee hio siku
  6. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania Ujuzi

    Mmmmmh
  7. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atinga Bungeni na kuamsha ari ya Bunge

    Lissu ni baba laooooooooooo
  8. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania Poll: ACT-Tanzania VS CHADEMA. Nani zaidi?

    Act, kawapambanishe na tlp ndo saizi yao
  9. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania Joto la CCM ni kali sana, wapinzani wanavua gwanda "automatically"

    Ndo ivo
  10. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa vijana wa ACT Tanzania

    Act wote puppets
  11. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania Joto la CCM ni kali sana, wapinzani wanavua gwanda "automatically"

    Mtoa maada unataka ukuu wa wilaya
  12. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Ahsante sana chadema maana hamuangalii mtu ni nani na ana umaarufu gan bali mnalinda chamaaa. Fukuza kabisaaa watu kama zito
  13. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania ACT Tanzania wamepata wapi pesa za promo star Tv?

    Hata mi nashangaa mpaka TBCwanapigiwa promo, hapo ndo naamini huenda ni ccm b
  14. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

    Kweli kabisa, chama kinachofukuza mwanachama anayefanya usaliti ndio chama bora. Kwa sababu hawaangalii wewe una umaarufu gani wala ulishawahi kutoa hoja ngapi bali watu wote ni chini ya katiba sasa huyo zito aende ccm akawe katibu mwenezi msaidizi wa nape huku hatutaki wasaliti, safi sana...
  15. Ngunguu

    JamiiForums Tanzania TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Ahsante saana baba askofu tuko upande wako katika kutetea kondoo wa bwana na tunakuamini kwa sababu umesema yaliyomema na yenye umuhimu katika dunia hii ya sasa, tunahakika kuwa wananchi wamekuelewa na tutafanya kama ulivosema maana hata sisi hatutaki kupotoshwa na katiba ya chenge na sitta.
Back
Top Bottom