Recent content by ngumukumeza

  1. N

    JamiiForums Tanzania Balozi alipompigia magoti Magufuli leo Ikulu

    Huyu ndo mwafrika halisia,nimependa sana
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Pistorius: Jaji aanza kumbana na uzembe wa kutumia silaha

    kwa hali ya kawaida upande wa jamhuri umeshindwa kujenga kesi,lazma tujue murder uangaliwa kwa means rea na haionekani ktk ushahidi wao. na mashahidi sio eye witnesses na inaonekana walienda kutoa ushahidi baada ya kusoma ktk vyombo vya habari tukio ilo. pia sauti iliyosikika ni ya Pistorious...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkenge, Asumpta Mshama lazima ung'oke 2015!

    JJB katika watu wenye akili ni wewe bukoba. haka ka mama sikapendi kazi kutoa toa ulimi kama nyoka
  4. N

    JamiiForums Tanzania Abiria waliojeruhiwa katika ajali hufidiwa vipi?

    Hiyo ni civil case muhimu uwe na risiti uliopewa ulipolipa nauli,loss report na pf3 unao uwezo wa kufungua kesi ya madai mahakani.unamshtaki mmiliki sio dreva.na watu huwa hawajui tu mwananchi anao uwezo wa kwenda mahakamani akafungua mashtaki kwa hakimu. muhimu ni risiti
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi apigwa na Askari wa Usalama!

    Kwa mtu mwenye akili lzma ujiulize kabla hujachangia, huyo kajitambulisha kuwa ye mwanajeshi nani kadhibitisha kama ni askari kweli? na pia askari wanaheshimiana tofauti na habari zenu hizi na magazeti,
  6. N

    JamiiForums Tanzania Serikali3

    wewe ni sawa na mtu anajisaidia pori lenye simba lkn anaangalia barabarani kuhakikisha hamna anayemona uku mgongo akiuacha porini. Baada ya kuhoji mambo ya mana unaongelea majengo? Eac ni nchi ngapi? Jengo la mikutano lipo wapi?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Brigedia Jenerali kumlinda Rais?

    Tusiwe na mawazo mgando na wala tusikariri, mm nadhani anayepinga brigedia general kuwa mpambe wa rais angetupa protocal nzima ya wasaidizi wa viongozi wanakuwa na vyeo gani, hakuna utaratibu eti lzma mwisho awe kanali,nani kasema? na pia huyu ni mtumishi wa umma muda umefika kapandishwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ukatili: baba amcharanga mwanae mapanga kisa kaangusha baiskeli yenye mayai

    atakuwa mkurya ndo wauza mayai
  9. N

    JamiiForums Tanzania Polisi walioua kasulu waachiwa huru

    Sijajua unachoongea,unasema alishtakiwa kwa murder then ikawa REDUCED to manslaghter" unachokiongea unakijua kweli? ilo neno ulotumia dhahiri inaonesha huna uelewa wowote wa sheria.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Polisi zaungua moto Jijini Tanga

    Huu moto ulikuwa na upendeleo,ungeunguza wao 8 wakabaki paka na panya wao na izo nguo
  11. N

    JamiiForums Tanzania Polisi walioua kasulu waachiwa huru

    Lulu we ndo ulimshtaki kwa murder au unongea tu? ninachoelewa kashtakiwa kwa manslaughter ambayo ni bailable
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wanne Watanzania watekwa na waasi wa MAIMAI

    Ni uongo na uzushi,askari wetu wako salama salmini,ma brother yupo uko nimemtumia email kasema wala hamna jambo kama ilo so be cool, wanajeshi wetu wako timamu kabisa,
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Diwani afariki dunia Igunga

    Hajakosea kufa acha afe,
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naunga Mkono Kura ya Wazi kwenye Bunge la Katiba; Sababu Zangu 7

    Hata darasa la 4 tulijifunza what is democracy na msingi mmojawapo wa democracy ktk chaguzi ni kura ya siri, usilishwe mambo kaa tafakari na jiulize ni lini tulipiga kura ya wazi? na je rasmu ikirudi kwa wananchi kuipigia kura watapiga kura ya wazi yaani ile ya NDIYOOOO? Jiongeze
  15. N

    JamiiForums Tanzania Pandu Kificho: Spika mwenye hekima iliyopindukia...

    elimu yake ni kidato cha sita na ana diploma, cjakuelewa msomi wewe, diploma si elimu? Tena ana diploma ya miaka hiyo ya sheria, unaweza mlinganisha na digrii zetu za sasa? Jiongeze
Back
Top Bottom