Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Heshima kwenu!
Nilikua abiria katika basi na njiani tukapata ajali kwa kugongana na lori la mizigo ambapo madereva wote walikufa on the spot, mi nimejitibia kwa wiki 2 sasa nna nafuu naomba kujua hatua na taratibu za kufuata ili nilipwe stahili zangu na je vitu vyangu nilivyopoteza kama laptop na simu pia ntalipwa?
Gharama za matibabu na muda nliopoteza hospitali?
Naomba msaada wenu wanajamvi