dah!,,, ni hatua nzuri inayokusudiwa,,, uyo jamaa namkubali sana tulikuwa nae pale loan board last wk, aliwaeleza vzur sana waandish wa habar,, tukatoka nae kuelekea wizaran,, naomben tuungane kwa pamoja,, roho inauma kuona mwana chuo nashndia miogo ya mia3 asubh,mia3 mchana na jion yan bila...