Recent content by nguluvisonzo

  1. N

    Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

    Taarifa zinazotoka sio sahihi hata kidogo,waliokumbwa na kadhia hiyo ni watu saba tu,baada ya kuanguka mafundi walikuwa na waliifungua lift na waliotolewa ni 7 tu,na imeanza kuporomoka toka ghorofa ya 14.
  2. N

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Wezi nyinyi mmeongeza gharama kimyakimya bila kutoa taarifa,siku hizi tukinunua vifurushi au muda wa maongezi zinakwisha mapema sana isivyo kawaida,nimeacha kutumia VODA Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Wazalishaji wa pombe aina ya banana mkoani Arusha wanailalamikia TRA

    Baada ya selikali kupitia waziri mkuu akiagiza wazalishaji wote wa pombe wafunge mashine zitakazo kuwa zina bandika stempu za kodi mpaka sasa ni banana investment tu ndie aliye aandikishwa TRA Arusha wengine bado na wanalalamika kuwa wamekamilisha kila kitu,kuna nini hapo,Meneja wa TRA Arusha...
  4. N

    Mbunge Peter Msigwa wa CHADEMA amsifia Rais Magufuli kwamba anajali vyama vyote

    Nilichomuelewa Msigwa 1.Kuhakikisha fedha za maendeleo ziendelee kupelekwa Jimboni kwake,au 2.JPM akague hiyo miradi aliyosema Msigwa,mfano stendi ya Ipogolo hakuna kitu na imekula 3b.waliopo Iringa tunaomba picha,maana ni stendi ya udongo for 3b hapana. Au Msigwa tuletee picha za hiyo miradi...
  5. N

    Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS

    Dawa mbona hatengenezi?au walisha mkolimba.
  6. N

    Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    Kwa kuongeza hivi sasa ni marufuku,kuisema serikali vibaya kutokana na utendaji wake,serikali maana yake CCM,maana hats Mwenyekiti wa tawi ananguvu kuliko waziri . Sent from my TECNO DP10A using JamiiForums mobile app
  7. N

    Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

    Nilijua hawakosekani,neno samahani haliuwi mtu,nyinyi ndio walewale mnao sema tuandamane wakati mnakula bata, Diamond achana watu kwenye kariba ya Pohamba ukipata matatizo wanakuchungulia kwa darubini.Akili za mbayuwai changanya na za kwako.
  8. N

    Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

    Msimponze Diamond,kura yake ilikuwa moja na hana tofauti Mwakyembe Nate alipiga kura moja hakuna aliyepiga zaidi ya moja,Mwakyembe ni gentleman sana alichomweleza ni cha kumsaidia kijana,kumbukeni kuna Leo na kesho,ninakushauri Diamond fanya vitu vitakavyo kusaidia na kukupa heshima...
  9. N

    Ndugu wa Aquilina Akwilini wakabidhi bajeti ya TZS 80m kwa Serikali shughuli ya mazishi

    Kura kufaana.fursa ni kila mahala Sent from my TECNO DP10A using JamiiForums mobile app
  10. N

    Picha: Diwani wa Tarime aliyehamia CCM apelekwa Afrika Kusini chini ya ulinzi wa Green Guard kwa mapumziko

    Hili ndilo linaloiteketeza CCM,ina maana CCM haina viongozi?watu wamehangaika na kupoeza Mali zao lakini wameonekana ni takataka,hii imetuzihirishia kuwa waliorudishwa bila utaratibu wa kawaida wametoka CDM na CUF ndio Waziri kuliko wafia chama ??? Inauma sana ziko wapi kura za maoni ????,hii...
  11. N

    Kwanini Jf imejaa member waoga ?

    Wasiojulikana wamo humu.
  12. N

    Kwanini Kurugenzi ya Habari (Ikulu) imekaa kimya kuhusu taarifa ya Lowassa hadi sasa?

    Wana edit mazungumzo yawe tofauti na alichosema,tusubiri wakitoka studio,da Steve nyerere anaumwa,nani tena???
  13. N

    Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    Du!!!!!!!!!!, makubwa iko wapi ile break ya habari,jamaa juzi kati walipigwa faini za kutosha kwa kurusha habari lile shirika la human right,mbona hizo nyingine zinatoka tu,ngoja tuanze episode Mpya ya kina kilio na kitobo.yupo wapi mwandishi wa Mwanachi?.
  14. N

    Shaka: Lissu si mkweli, Abeid Karume, Dr. Kleruu na Mahinda walishambuliwa kwa risasi

    A Wasiojulikana ??????? Hakika uelewa ni jambo muhimu sana,linganisha matukio Shaka,ndio maana hats Kamati kuu wamekuondoa sababu kubwa umbumbumbu,akasome upya historia ya matukio aliyoyataja.
Back
Top Bottom