Mimi pia natokea Magu, nimeishi na kukulia magu nayajua mateso na mahangaiko ya watu wa magu. Matatizo ambayo yapo ndani ya uwezo wa mwakilishi wetu. kitu kikubwa watu wa magu tujitahidi kuwaelimisha wenye mawazo mgando, watu waliozoea kula nyama siku limbu akishinda, kupewa khanga, chumvi na...