Recent content by Ngulimba wa Ngulimba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ulaji wa dawa za presha

    Unatumia maisha yako yote, mimi natumia sasa mwaka wa 30
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

    Gas nyingi tumboni, sababu ya baadhi ya vyakula kama ndizi mbivu na za kupikwa, chips maharage nk ama dalili za vidonda vya tumbo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Huu ugonjwa unanitesa sana… nahitaji dawa ya uhakika

    Boost your immunity, tumia suppliments za Zinc na Vitamin C
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge ambao walikuwa na uwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. Je Ni kwanini

    Inawezekana mkuu, kumuweka asiyekuwa mtaalamu wa fani husika kuwa waziri. Kwa ujumla wake uwaziri ni nafasi ya kisiasa, hata mchakato wake wa kupata nafasi ya uwaziri ni wa kisiasa, lakini ndani ya wizara kuna Katibu mkuu ambaye aghalabu huwa mtaalamu wa fani husika na pia kuna ma kamishna ambao...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

    Keshajitenga nao kwa miaka 3 ni muda mrefu sana, ulifanya kosa kubwa sana kuwapiga wazazi wako tena wote wawili nadhani waliumia sana mioyoni mwao kuwa huu ujasiri wa mtoto kumpiga mzazi umeupata wapi. Ukisoma kitabu cha mwanzo sura ya 9:20-28 imeandikwa Nuhu alilima zabibu akanywa divai...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mke amehama chumba tulichokuwa tukilala pamoja

    Ni suala la muda tuu, baadaye atarejea ama ikibidi mwombe msamaha hata kama kosa siyo lakwako hiyo ndiyo falsafa ya wanawake wengi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ujenzi kwenye kiwanja cha 20 x20 or sqm 400

    Nyumba kubwa ya vyumba 4 vya kulala, sitting room, dining room, choo bafu jiko nk zinaweza kuhitaji kama 220 square meters, chamber za maji taka, choo/bafu ya nje nafasi itabaki ndogo sana kwa gari 2
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa drs la 2 nimemuuliza methali ya mtoto akililia wembe amenijibu mtoto kautaka..

    Mkuu mfumo huo wa elimu hauna manufaa tena katika ulimwengu wa leo, kuna mabadiliko makubwa sana ya technolojia kiasi kwamba elimu ya kukariri mto mrefu zaidi Duniani ni upi imebaki kwetu sisi wahenga hivyo mweleweshe tuu polepole
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kutekwa na Kuuawa: Je iundwe Tume ya Kijaji iliyosheheni Wazalendo kuchunguza au Waitwe Scotland Yard kutoka Kwa Mabeberu?

    Wamechunguza vitu vingi sana ,mauaji ya Dr Ouko Kenya walichunguza walipotoa taarifa ya awali kuwa aliyekuwa mkuu wa usalama Hezekia Oyugi ana la kujibu na Rais wa wakati Arap Moi ana la kujibu pakawa pagumu ikabidi waondoke Bank kuu ya tanzania iliungua 1984 wakaitwa scotland yard
  10. N

    JamiiForums Tanzania Utafanyanini ukigundua kua mkeo ana mtoto aliyemzaa zamani na alikuficha?

    Endelea na mkeo huna sababu ya kuachana naye, hata ukienda kuoa mwingine huna uthibitisho wowote kuwa kila atakachokueleza ni ukweli na hakuna mengine aliyohifadhi moyoni. Sisi wanaume pia huwa tunaficha mengi ili mradi yalitokea kabla ya ndoa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Binti wa Jacob Zuma achumbiwa na Mfalme Mswati III

    Mkuu nenda Handeni vijijini ukaone
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wataalamu wa Afya ya Sauti

    Iwapo unavuta sigara/shisha/Kiko na vyote vinavyofanana na hivyo acha mara moja Pia usitumie vinywaji baridi yaani refrigerated kama maji, soda, beer, ice cream nk tumia vikiwa at room temperature
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nimemuacha mume wangu kwa ajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake!

    Pole sana, umevuna ulichopanda usibadili bura yako kwa rehani
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo, X Ray haioneshi kitu

    Tatizo linaweza kuwa Angina, haifiki Damu ya kutosha kwenye ambayo ndiyo inayobeba oxygen
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

    Sidhani kama wasomi wetu hawalijui hilo , inawezekana imefanyika makusudi
Back
Top Bottom