Recent content by Ngufumu

  1. Ngufumu

    Mambo ya Kuepuka Ukiwa na Mimba/Ujauzito

    Mambo zaidi ya 10 anayopaswa kuepuka Mjamzito yoyote yule Unapogundua kuwa una mimba, unapaswa kuwa mwangalifu na kuepuka mambo mengi ambayo yanaweza kusababisha mimba kutoka, au tu yakakukudhuru wewe na mtoto wako aliye tumboni. Kwa kujua orodha ya mambo zaidi ya 10 ya kuepuka wakati wa...
  2. Ngufumu

    Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

    Umeua ule mji ni wa kipekee kuna miti fulani imeteshwa mle karibu na chuo cha ualimu na maeneo mengine pia ipo madhari yake ni ya kuvutia sana, ukija mashamba ya chai pia yana madhari nzuri mno, wapiga picha, wacheza muvi na watafuta location wengine kuna kitu Tukuyu, watu wakule ni wakarimu...
  3. Ngufumu

    Siku aliyozaliwa Yesu bado Kitendawili

    Pitia na hii[emoji1541] SIKUKUU YA CHRISTMAS (Sehemu ya 5) TAREHE 25 DECEMBER Tuanze na majira ya kipindi alichozaliwa YESU Luka 2:8 [8]Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku. Kipindi pekee ambacho Wachungaji wanaweza kukaa...
  4. Ngufumu

    TNMC kulipisha wanachuo 30,000 ili wapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena Mwanachuo analipishwa 150,000 kufanya mtihani ni wizi na upigaji

    Ni kweli kabisa pitia pia huu uzi umezungumzia hilo[emoji1541] https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2159498/
  5. Ngufumu

    Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania(TNMC)

    TANZANIA NURSING AND MIDWIFERY COUNCIL (TNMC) Kwanza Hongereni sana kwa kazi nzuri mnayofanya ya kuwakumbusha wauguzi na wakunga wajibu wao, nadhani ni vizuri na nyie kama chombo kinachosimamia taaluma mkakumbushwa wajibu wenu 1. (a). Nyie mpo kwaajili ya kuhakikisha umma unapata huduma zilizo...
  6. Ngufumu

    Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

    Shukrani sana ntakutembelea kujifunza zaidi[emoji1545]
  7. Ngufumu

    Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

    Bosii hii mimea Ina madhara gani kwa ardhi, pia kama Eka Moja inaweza kulisha mbuzi 60 kwa mwaka ni kwa namna gani? Maana nilivyoelewa ni kwamba inavunwa kwa mara moja au Kuna namna ya kuhifadhi majani yaliyovunwa kwa matumizi ya baadae?
Back
Top Bottom