Huyu mwamba nadhani hajui hata scientific data zinapatikanaje! Hiyo Cohort study aliyoisema hajui data zake zinapatikanaje! Nimpe taarifa tu Hospitali zote ikiwemo JKCI, ni eneo sahihi kabisa la kukusanya data za kisayansi!
Mimi huwa naangalia kwenye comments tu..pages za kitapeli utakuwa wamezima au ku restrict comment section! Au unaweza kukuta anacomment mtu mmoja tu, kwa kila post! Ukiona hivyo achana na page hiyo
Wewe nadhani umesikia tu kwa watu, na hao watu walisikia kwa watu! Tuna wagonjwa wengi tu, wanakuja bila fahamu, wanahudumiwa na kupona kabisa, baadhi pia hufariki sio kwa kukosa huduma, bali hatua ugonjwa wao ilikuwa juu sana kiasi kwamba isingewezekana kuzuia vifo vyao!
Hahaha..mimi binafsi najisikia poa tu, Ni kweli kumekuwa na changamoto za hapa na pale kwenye uendeshaji wa Hospitali hii, lakini karibia changmoto zote zinahusiana na ukosefu wa fedha tu!
Wakati huo huo, majority ya watu wanaotusema vibaya, hawajawahi kutibiwa, wamesikia tu kwa watu! Ambao nao...
Simu inauzwa, ni Xiaomi Poco M3
RAM:4GB
ROM: 64GB
RESOLUTION:2040X1080(full HD)
Camera:Nyuma 48mp
Mbele:16mp
Betri:6000mAh
Simu imetumika miezi minne tu! Ni nzima haina Tatizo lolote! Unapewa pamoja na boksi na warranty yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.