Recent content by NGOSWE2

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    Isaya 45 18 Maana Bwana, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine.
  2. N

    JamiiForums Tanzania KERO Kamali, matusi kelele na ugomvi

    Kata ya Buyuni – Mtaa wa Nyeburu, Barabara ya Mchimbo (Maarufu Kwa Baba Esther) Sisi wananchi wa Kata ya Buyuni, Mtaa wa Nyeburu, tunapenda kuwasilisha taarifa ya kero inayotusumbua kwa muda mrefu katika eneo letu, hususan barabara ya Mchimbo maarufu kwa jina la Kwa Baba Esther. Eneo hili...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Watanzania jtokezeni Uwanjani kushangilia Taifa Stars, Kwani hamuwaoni Kenya na Uganda wanavyojaza Viwanja vyao?!

    Wameona hayana tija kwao bila shaka. Angejaribu kuwaonyesha hizo fursa kwanza.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Shetani hana Rafiki, Walioshiriki Wixi wa Kura Masaki 2015 Wamebaki wawili tu Wengine wote wamepukutika na wengine washafariki

    Mimi hakuna mtoto hata mmoja aliyerithi fani yangu. Na nina watoto saba, vipi hapo mkuu?
  5. N

    JamiiForums Tanzania CCM imebaki kuwa kapu la magenge hatari

    Jana nimepigiwa simu nikachukue kitambulisho cha uanachana CCM, nikaenda. Cha ajabu ni kuwa picha waliyoiweka ni ya mwaka 2021 na niliyotumia kujaza form kwenye taasisi fulani. Na wamesaini wao wenyewe. Sahihi waliyoweka wameshindwa kuinakili kama ilivyo yangu. Umeniumiza sana kuona taarifa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna matamko huyategemei toka kwa Jaji wa Rufaa, anatoa haki Mahakamani! 37 millions wamejiandikisha kweli?

    Hiyo ni akili yako au kuna mtu nyuma yako? Nenda kwenye takwimu ya sensa ya mwaka 2022 itakupa takwimu ambazo zinaweza kujibu kwa hoja.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Responded NIDA: Kitambulisho kikifutika kilete Mkandarasi atakichapisha upya bila malipo

    Kwa mfano hiki toka namba ilipotumwa ilikuwa haifanyi kazi. Baada ya kuchukua kitambulisho halisi kijana huyu kakihifadhi kwenye bag hakifanyi kazi. Ni miaka kadhaa toka akichukue.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Responded NIDA: Kitambulisho kikifutika kilete Mkandarasi atakichapisha upya bila malipo

    Kuna kijana wangu alipewa lakini hakifanyi kazi. Zikiingizwa namba za kitambulisho husika, taarifa hazipatikani.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    Haiponika ndani ndani. Chanika yote ina mitaa na yote naifahamu. Mtaa wa ndani ndani unaoujua haupo. Kuna mdau kakuuliza mtaa upi? Haujamjibu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    Itakuwa Chanika ya Tanga. Chanika ya Ilala usafiri masaa 24. Na ina wahamoaji wengi sana, ni mchanganyiko wa makabila. Serikali imelijua hilo huduma zote muhimu zipo pale. Bahati nzuri nimeizunguka sana Chanika wakati natafuta maeneo.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    Utoto mzigo kweli. Ujinga huo huo nilikataa kununua eneo Kinyerezi kisa eti siwezi kununua sehemu yenye Kima wengi. Leo hii Kinyerezi ikoje. Unapo kuona kuna maendeleo kulikuwa shamba. Utakaa kwa mama mpaka lini?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Askari wa JKT Tanzania akitafsiri lugha ya kireno kwenda kiswahili wakati wa ziara ya mkuu wa Jeshi la Msumbiji

    Nasi kama ni usomi wengine tunazitandika lugha kadhaa bila kwenda shule, tukijua ni lugha kama lugha zingine tu.
Back
Top Bottom