Recent content by ngosheperson

  1. N

    Mambo ya kabla ya uwepo wa binadamu yalijulikanaje?

    Mambo mengi yalitokea ktk asili(nature) na habari nyingi hazifahamiki, lkn nyingi ziliweza kufahamika kwa njia mbalimbali 1. Kwa njozi na ndoto (maono) kwa watu wenye upeo! 2. Dhahania 3. Mapokeo ya kiunabii (vitabu vitakatifu) na njia nyinngine nyingi zinazofanana na hizo. Kwa ujumla njia...
  2. N

    Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    The subject matter you presented Does not match with the conclusion you made upon! Who is Wasira your talking about Try to reconciled! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  3. N

    Ndege ya malaysia ilibadili mkondo maksudi:

    Waziri alitakiwa kueleza uzembe umefanyika wapi,vipi? Na ni hatua gani kwa wote walohusika zimechukuliwa ? Angetoa deadline lini itakuwa imepetikana. Na hatimae kuomba radhi jumuiya ya wana Malasia na Dunia kwa ujumla kwa uzembe na upotevu wa roho za watu wasio na hatia! Jumuia ya kimataifa...
  4. N

    Yaliyotokea bungeni leo ni uwazi wa CCM , Chadema ni wapiga debe tu, dereva ni CCM!

    Sina raha waziri wa maji na huyu wa DV 5 wambaki sijui kwa vile jimbo lake lina migodi yetu?! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  5. N

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Huyu mtu J.W. Malecela sijamuelewa kabisa kama hoja yake1.kuomba radhi kwa uma kwa niaba ya Mh. Kapuya angeomba radhi tuu 2. Kama ni kutoa uthibitisho wa Mh. Kapuya kutohiusika angefanya hivyo 3. Kama Nikuthibitisha kuhusika angefanya hivyo pia 4.laa kujisifia Kuwa yeye ni Mtu mwenye siri...
  6. N

    Zitto ana siri nzito kuhusu CHADEMA na CCM na kaamua liwalo na liwe

    Kama chama chako cha sisi eeem! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  7. N

    TBC kutorusha hewani taarifa za Ufoo

    Hili binafsi sijalifurahia kwani ni ni mpenzi wa TBC habari sijaona mpaka magazetini.habari kiundani nimezipata hapa JF! Huo Sio uzalendo habari kwa Manufaa ya wananchii! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. N

    Ukaguzi wa Ruzuku kwa CHADEMA, CCM: Tumwamini Zitto au Vyama?

    Binafsi naona zitto ametimiza wajibu,bila kujali umaarufu wa vyama! Bila kuhofu chama chake Kuwa miongoni mwa vyama ambavyo havikuwajibika. Lkn pia kwa Kuweka ubayana wa udhaifu wa ofisi ya msajili wa vyama,kadhalika kutowajibika kwa ofisi ya mkaguzi mkuu wa mahesabu ya mashirika ya Umma...
  9. N

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Hbari hii imetangazwa na channel nyingi lkn kwenye TBC sijasikia zaidi ya kipindi cha magazetini kunani? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  10. N

    Pius Msekwa na Kingunge ndani ya TBC tv

    Tanzania tungeweza kuendesha nchi na tukapiga hatua pasina Ufisadi wizi rushwa,ukabila na udini! Kadhalika kuuepuka umasikini uliokithiri!#Nyerere day! Tanzania tungeweza kuendesha nchi na tukapiga hatua pasina Ufisadi wizi rushwa,ukabila na udini! Kadhalika kuuepuka umasikini...
  11. N

    Maendeleo ya kitaaluma Sekondari ya Miembe Saba yachunguzwe

    Je una uhakika gani juu ya suala hilo? Ungeona walimu wakipiga soga na watoto wakafauulu ungesema nini? Umechukua hatua gani zaidi ya kupost humu jf? Shule inabodi, DEO wa halmashauri. Lakini hata mkurugenzi mtendaji pia ni mdau muhimu! Kwa ushauri jiamini peleka malalamiko yako hayo kwa...
  12. N

    Picha: Mabadiliko hayatakuja kwa kubadilisha vyama bali ni nia zenu mpya na mapenzi ya NCHI- Nchemba

    Ndugu zetu walishindwa kutumia fursa hiyo kumhoji Nchemba kwa niaba ya chama chake: Maswali kama! 1.Kwa nini nchi bado haijanufaika na wingiwa rasilimali zilizopo? 2.kwa nini serikali haioni shidaa kusaini mikataba yakiwekezaji isiyonatija kwa taifa? 3.kwa nini serikali inaongoza Chombo km...
  13. N

    Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

    Machenics jamani duu ilkuwa haishi (prove Benullius equation) Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  14. N

    Mtanzania aliyekamatwa Los Angeles akiri kuingiza heroin Marekani

    Mimi nilidhani hawa ndugu zetu Usalama wa Taifa ni waadilifu mno na wazalendo. Nimestaajabu kuoma Mwakyembe akiitaja na kuishuku idara hii nyeti muhimu nchini! Kwa nchii hii uadilifu umeshaexpire! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  15. N

    Ni uduni na ufinyu wa mawazo kuvibeza vyuo vikuu vingine kwa misingi ya ubora usio wa kimantiki!

    Nilikuwa na mentality yakubeza hata masomo nikiwa mdogo nikapaform vema science,nikachaguliwa special schools O-level&A-level,Kwa bahati mbayasikusoma udzm.lakini mentality hiyo haikunisaidia maisha niyaleyale mishahara ni ileile,haina maana kwa ujumla unakimbizwa na lecture&Professors wenye...
Back
Top Bottom