Ni kuhusu udini Tanzania,
wakati Pius Msekwa akisema kuwa Tanzania hakuna udini bali matukio yanayoendelea ni Ujambazi tu! Kigunge amepinga kauli hiyo na kusema udini upo na kutahadharisha Taifa kulizungumza hili kwa uwazi.
Ni katika mazungumzo leo Asubuhi TBC1