Recent content by Ngoshagugema

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hukumu ya Sugu ilipangwa hotelini na RC Makalla. TISS wanaratibu mikakati ya kutubambikia CHADEMA kesi

    Mimi nilifikiri jamii forum kuna members wanaweza kujenga hoja ambazo zitaleta mijadala humu badala yake humu wapo wengi wanaleta ushabiki wa kiasiasa tu, ambapo halikuwa lengo la kuanzisha Jamiiforums
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hukumu ya Sugu ilipangwa hotelini na RC Makalla. TISS wanaratibu mikakati ya kutubambikia CHADEMA kesi

    Jamii forum ya sasa imejaa mipasho tu humu, hakuna critical arguments
  3. N

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu Sekondari Bagamoyo atelekeza watoto aliozaa na walimu

    Huyu MTU ameleta kero take humu, badala ya kusolve problem yako, mnamuongezea tatizo KBS, inaonekana jamii forum baadhi ya watu hawajui mini maana ya kuwa member was jamii forum, hili ni group la watu wenye akili yaani think tank group. Any way, Mimi ni WAKILI wa mahakama kuu, nitafute...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mbowe, waenda NEC kuwasilisha malalamiko kuhusu Uchaguzi ubunge Jimbo la Kinondoni

    Unajua jamii forum imekuwa na members kwenye mlengo wa kisiasa tofauti sana, hatutegemei kupata logical arguments humu, badala yake kauli za kuudhi na kudhalilishana zitawala humu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mimi nilishawaambia watu humu kuwa hana mbinu za kuisaidia Chelsea kushinda makombe, aondolewe tu, hamna namba nyingine. Hata mchezaji wa juventus chellini, amedai kuwa conte huwa anawapa mazoezi magumu ni sawa na kifo KBS, ndiyo maana wachezaji wengi majeruhi
  6. N

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tumetia aibu mno kama vile tumefungwa mechi mbili mfululizo bao saba,
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia whatsApp application on PC

    Naomba msaada wa kutuma ktk jamii forum
  8. N

    JamiiForums Tanzania Inasemekana marehemu mzee Kingunge hakuwa na dini, atazikwa kwa utaratibu gani?

    Aiseee, hii thread ya hovyo mno, yaani unajadili marehemu atazikwa kwa dini gani, wewe ni familia ya kingunge? Hebu tuweni ni busara kidogo, hili so suala la kujadili humu, au kama unataka nenda nyumbani kwa marehemu ukazunhumze nao. Hivi kizazi cha sasa kina mini?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Makabila zaidi ya 128 yanayopatikana Tanzania Bara

    Umesahau wanyatunzu, washashi, waluli, wamang"ati, waisanzu, wakwaya, wadakama, wanang'wagala
  10. N

    JamiiForums Tanzania TANGA: Basi la kampuni ya Tahmeed lapata ajali Kitumbi wilaya ya Handeni na kuua mmoja

    Poleni abiria, MUNGU awape wepesi, mpone haraka, ameen
Back
Top Bottom