Recent content by Ngosha Mashuka Jr.

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vijana 2 wanatafuta kazi

    Elimu darasa la saba wako tayari hata mashambani mshahara maelewano yenu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Vijana 2 wanatafuta kazi

    Kazi yoyote iliyo halali na isiyokiuka misingi ya haki za binadamu. Ni vijana wa kiume. NiPM au tuwasiliane kwa namba 0759708720. Wapo Shinyanga
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tigo kuipigia kampeni CCM, kuvunja vunja line zao

    Nimekua nikipata tuhuma kwa jamaa zangu wanaotumia tigo kuwa mbona sijiungi na tigo ili niwe karibu nao lakini roho yangu imekua nzito sana sasa nawaambia kwa haya ndio HAMTANIONA KAMWE KWENYE LIMTANDAO LENU....!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je unatafuta mchumba(mke au mume)? Pata hapa

    Je wasukuma sio binadam??????????????
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa hizi

    nahitaji mke wa kufunga nae ndoa, awe na umri kati ya miaka 23-28, awe muslim anaemuogopa Mungu, awe anajitambua, anaejua thamani ya ndoa n.k.... niPM utajibiwa haraka NB. kabila yoyote
  6. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Naichukia CCM lakini sio mpiganaji kama Deo... R.I.P
Back
Top Bottom