Recent content by Ngosha Kugema

  1. Ngosha Kugema

    Kamanda Abdulahman Kinana kuanza ziara kesho Mkoani Kigoma.

    Upuuzi mtupu, huko hakuna pembe za ndovu au ameona tembo wamepungua anataka ahamie kwa wale SOKWE wetu walioko Gombe na Mahale? hii hatari sana au kwa vile yeye so mtanzania?
  2. Ngosha Kugema

    Dada zetu, hii maana yake nini?

    Naona wmeona aibu maana hii tabia co nzuri
  3. Ngosha Kugema

    Ushoga na Udini: Mwigulu achafua upepo Bungeni!

    MWIGULU hana issue ni miongoni mws wapuuzi katika nchi hii cjui huko alikopatia ubunge wananchi hawakuwa na mbadala ya mtu mwingine
  4. Ngosha Kugema

    Wenje awatuhumu wajumbe wa kundi la 201 kuhongwa!

    Acha upumbavu mtu anaposema ukweli unasema upuuzi MWIGULU anapoongea upuuzi unashangilia funga domo lako na kama huna hoja funga domo lako htutaki tena kuona ushenzi wako,
  5. Ngosha Kugema

    Lowassa achanja mbuga; CHADEMA wammezea mate!

    Nina wasiwasi na akri yako au ni wewe unaetafutwa umetoroka milembe? Haya olewa sasa na Hao waume wako zito na lowasa na cjui utawahudumiaje maana wote ni mizigo
  6. Ngosha Kugema

    Natafuta marafiki wa kiume

    Wakija kumi utaweza kuwahudumia? Michepuko sio dili baki njia kui
  7. Ngosha Kugema

    Endapo Jaji Warioba Ni Mtu Anayeheshimu Mawazo ya Wananchi...!

    Hauna jipya peleka huko gamba lako
  8. Ngosha Kugema

    PICHA: Tukio la DR Hamis Kiwangala alivyo tiwa mbaroni huko NZEGA

    Hao polisi sio wantanzani tusubili tutakapopata askari wa kitanzania wenye uzalendo na nchi yao wanaojua shida za watanzania ndipo haki itaanza kupatikana kwa wanyonge
  9. Ngosha Kugema

    Hzi goal mbona nafunga fasta fasta asee

    Acha misosi ya wanawake
  10. Ngosha Kugema

    Hzi goal mbona nafunga fasta fasta asee

    Acha kula chips mwanaume
Back
Top Bottom