Hzi goal mbona nafunga fasta fasta asee

Hzi goal mbona nafunga fasta fasta asee

Mabeki watakuwa kama wa arsenal ndo mana zinaingia haraka haraka😀🙂😀😀😀😀😀
 
Dk 5?!?! Na unategemea huyo mwanamke afurahie tendo? Majanga!

Menyu na mazoezi ni tiba kabisa. Mwanamme anakula chakula chha kueleweka sidhani kama anaweza kubwa na hili.
 
kunywa bapa ndogo af uone shughuli yake,.,lazma papuch iwake moto
 
Kama wewe unaridhika poa tu, unaweza kuwa unajitahidi kumridhisha mwenzako kumbe yeye hana mapenzi kwako hata chembe. Utamu unao mwenyewe, pia mapenzi ni zaidi ya kungonoka.
 
Mzima wewe?? Mfundishen kijana

niko na uzima mwingi Miss ICHANA, huyu ndugu wacha waje wale wa majina ya kujirudia rudia, me ningali bado natafuta funguo yake kwani sijatambua ni aina gani ya kofuli, vipi we umekwisha tambua?.
 
Endesha baiskeli mkuu mara kawa mara.....noma sana.....kuna mtoto wa kimbulu alitoka mbio gheto...hadi nguo zake za ndani kasahau...namtafuta nimpe nguo zake mpaka leo simuoni ni wiki ya pili sasa....
 
we robet unafkr mbal kk maana nmecheka mpaka bas huyo jamaa anajua kufunga
 
Chips mayai ni hatari kwa afya yako!!!!!
 
Dk 5?!?! Na unategemea huyo mwanamke afurahie tendo? Majanga!

Menyu na mazoezi ni tiba kabisa. Mwanamme anakula chakula chha kueleweka sidhani kama anaweza kubwa na hili.
madam, kwani huwa ni dk ngapi jamani, mbona mnanipa wasiwasi, mie nikishasikia lile fukuto baas, si nitaachwa kweli..mh
 
Mu hali gani jamani???
Mimi nina tatizo moja,
yani nikianza game nan
demu wangu, yani goal la kwanza
halichukui hata dk 5, nikiingia raundi ya pili na ya tatu story inakuwa ni hivyohivyo, je hili ni tatizo au nini jamani??

Acha kula chips mwanaume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom