Recent content by ngongoti70

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nape: Kingunge afanye anachotaka

    Kueneza propaganda kwamba kuondoka kwa Lowasa kutaleta mpasuko ndani ya chama si kweli..kama kungekuwa na mgawanyiko tungeona pale zilipopigwa kura na mmoja wa wagombea kuibuka kidedea kwa ushindi wa 82%..unaanzaje kusema Kuna mpasuko hapo!?#kwa mara ya kwanza ccm wamempata mgombea katika duru...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nape: Kingunge afanye anachotaka

    ni kweli kabisa..chama si cha mtu mmoja,kulazimisha kujenga hoja za kitoto eti chama kitasambaratika ni uvivu wa kufikiri..chama kwanza mtu baadae!
  3. N

    JamiiForums Tanzania 10-04-2015: Mgomo wa Daladala Dar e Salaam

    Asante kwa kutuarifu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nimetukanwa na mke wa jirani yangu!!!

    ni ngumu kudhibiti hisia za mtu hasa akiwa mume ama mke kwenye tukio kama hilo..mwambie mshikaji kuwa mkewe kakosea!
Back
Top Bottom