TheSmartLady
Senior Member
- Apr 4, 2015
- 148
- 53
Kwa wakazi wa Dar es Salaam ... kuna tetesi zilianza kuvuma tangu mapema asubuhi ya leo na kupatiwa uhakika kua ni za kweli.
Wakazi wengi wa hili jiji utumia usafiri wa daladala kwenda makazini na vibaruani kwao... Ijumaa bado ni siku ya kazi lakini hawa wenye vyombo vyao wameamua kuweka mgomo mpaka asubuh ya saa 3 daladala za kwenda na kurudi mbagala,tabata,temeke,ubungo,mwenge,makumbusho,k/koo,m/mmoja na kwingineko kutakuwa hamna.
sasa wale tunaotegemea hawa ndugu kesho ndo wamegoma..tuandae njia mbadala kabla hakujakucha...maana kuna kwenda na kurudi.
Mjumbe hauawi.
Usikuni mwema.