Recent content by NG'ONG'ONHWI

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hapana Chezea mkurya

    mama robhi utakufa mamaa ya wasungu waachie wasungu..hahaa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Inerview immigrarion 2013

    Me sijaelewa wadau kwani kama wamesema wanahitaji vijana wa form six katika barua yangu ya maombi nikiweka wazi kuwa labda pia nina degree au dploma ya taaluma flani nakosea?? Jibu tafadhali.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kufahamishwa..

    Ni kitambo kidogo kimepita tangu idara ya uhamiaji kutoa tangazo la nafasi ya kazi ya ukoplo wa uhamiaji kupitia gazeti la mwananchi.nilituma maombi lakini bado sijafahamu kuwa majibu watatuma katika anwani niliyotumia au watatangaza tena.kwani katika tovuti yao ya Welcome to the Official...
  4. N

    JamiiForums Tanzania msaada unyanyuaji vyuma

    wana jf shukrani kwenu nimepata jibu.siku zote fanya kitu huku ukitambua kuwa matokeo yake ni nini au lengo lake ni nini pia too much is harmfull,bila kusahau ushauri wa daktari/kiafya ni muhimu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania msaada unyanyuaji vyuma

    kwanza kabisa heshima zenu wana jf.mimi naomba kusaidiwa juu ya jambo hili,kuna madhara gani endapo mtu atakuwa akinyanyua vitu vizito(vyuma)?natanguliza shukurani.
  6. N

    JamiiForums Tanzania changamsha akili kidogo

    kill him not,let him go
  7. N

    JamiiForums Tanzania Sababu iliyonifanya nihamishe chaneli ya TV

    umetoa jibu mapema sana ungetuliatulia tuwapate wagonjwa wa akil humu jf
  8. N

    JamiiForums Tanzania That's why men are dying to get a ride...

    excuse me are talking about a girl or gar??
  9. N

    JamiiForums Tanzania Machizi bana

    jukwaa la IT.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Duh: Kichapo nouma!

    mmh bwana asifiwe wana jf jbu waalekyum muislam labirara amina alhamdullrah.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nani kawaambia???

    te te te teee,imani ipo wapi jamani?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ungeuaje soo hili!

    coco beach ooh sorry cofta na kikohoz juu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Vitendawili vingine tata kweli!

    mkufu.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Muhindi aliyesilimishwa!!!!

    okay bismillah,ongeza biriani.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ujanja Ujanjani!!!

    yeeeh if u do me i do u.
Back
Top Bottom