Recent content by Ngondae

  1. N

    JamiiForums Tanzania Airtel jamani

    Sasa kwanini wanilazimishe kunikata tsh 125. sasa kama nina salio la tsh 70 je nitatuma sms?
  2. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi nipo mtwara kwa anaetaka tubadilishane kutoka RUFIJI NA WIRAYA JIRANI NA RUFIJI(SEC)
  3. N

    JamiiForums Tanzania Airtel jamani

    Nimetuma sms 1 nimekatwa sh 125 na kuambiwa nitume sms mtandao wowote kwa sh1. hoja nikwamba hii nibora iwe promotion kwa anaetaka na c kwa kila mteja wengine 125 tunatumia wiki nzima.ni ushauri tu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Sahara media na ujio wa king'amuzi cha continental!!

    Mbona ni mapema sana ndugu fanya subira mi nina imani mambo yatakua sawa tu.ivi uliwahi kufikiri kwamba watz mpaka wa vjjni wangeweza kumiliki simu?Ebu ona namna fedha za mitandao zinavyo saidia walalahoi je uliwahi kuliwaza
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hivi bodi ya mikopo inasponsor masters?

    Ahsante lambardi ubarikiwe
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi bodi ya mikopo inasponsor masters?

    Jamani naomba kujuzwa kama ninaweza kupata mkopo wa kugharamia masters kutoka BODI.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hodi wapendwa

    Nilikua mfuatiliaje wa jf wa nje nje tu leo nimeona bora niingie ndani.je mpo poa?
Back
Top Bottom