Recent content by ngonani

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kapata mkopo asilimia mia lakini bado anaomba hela ya matumizi. Ni sawa?

    Poa , KAPANGA NJE YA CHUO
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kapata mkopo asilimia mia lakini bado anaomba hela ya matumizi. Ni sawa?

    Hiyo inaeleweka,mimi nazungumzia mazingiraya kawaida,kuna umuhimu wa kumpa kijana mwenye mkopo 100% hela ya kulipia kodi ya chumba ,hela ya umemem,hela ya maji,kuongezea hela ya matumizi etc?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

    Kama unaoa msukuma,inabidi uwe na bajeti ya kupanga nyumba kubwa,usishange baba mkwe na mama mkwe wanakuja kukusalimia na wanakaribisha na majirani kama kumi kuwasindikiza,wakifika kama msosi si haba watakaa hata wiki 2,wanaondoka kwa muda na baada ya siku nane unapokea ugeni tena,wako radhi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kapata mkopo asilimia mia lakini bado anaomba hela ya matumizi. Ni sawa?

    Wakuu, Nina mdogo wangu yupo chuo, yeye alipata mkopo 100% lakini kila mwezi anaomba wazazi hela ya matumizi, pia kodi ya chumba alikopanga ikiisha anaomba na kkulipiwa. Je ni kweli mkopo elimu ya juu 100% hazimtoshi mwana chuo kujilipia kodi na kukidhi mahitaji yake yote, angalau awe anaomba...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

    Katoro kuna biashara kubwa sana ya vipodozi,cha ajabu hata Mwanza na Dar wanafuata vipodozi Katoro wakati hakuna viwanda,bidha nyingi zilizokwepwa ushuru kwa 100% zinapatikana Katoro kwa bei poa sana,iwe vipodozi,urembo viroba etc na ndicho inafanya mji wa Katoro kukua kwa kasi sana wakati...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Sayansi ya Siasa: Kuanguka vibaya kwa Upinzani ktk Uchaguzi Mdogo wa Madiwani wa Novemba 26, 2017

    Essay Theft in the name of science by Paul Turnbull
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Sayansi ya Siasa: Kuanguka vibaya kwa Upinzani ktk Uchaguzi Mdogo wa Madiwani wa Novemba 26, 2017

    Hata wizi ni sayansi,kuna sayansi ya wizi
  8. N

    JamiiForums Tanzania MBOWE: Pamoja na ukakasi unaoendelea awasihi wananchi kwenda kupinga kura.

    Is that all you can say Mr Mbowe?shame on you
  9. N

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo Kata ya Nnacho - Ruangwa: Mnachofanya siyo sheria

    Alafu atakuja professor Bansen Burner kutuambia upupu wake kuwa Demokrasia Tanzania imeimarika.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nauza Bucha la Samaki

    Butcher=machinjio
  11. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Hivi haya mambo ya aibu namna hii kuna nchi nyingine duniani uwa yanafanyika?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo dhamana vyeti vyangu

    VYETI SIO DILI SIKU HIZI
  13. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    Lini alihamia CCM?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rwanda kupokea wahamiaji wa kiafrika ambao Israel inataka kuwafukuza

    Ako kanchi ayawaweka wapi?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

    Hivi wanafunzi wanaosomea medicine wataamishiwa uko?
Back
Top Bottom