Recent content by Ngonalugali

 1. Ngonalugali

  Ndugu Lema; taarifa za utekwaji "MO" zilete Central; Kufanya mkutano hauruhusiwi kisheria na utakamatwa

  Kwa wenzetu likitokea tukio kama hutumia njia zote ili kujenga mazingira ya kuzuia matukio ya namna hiyo, sisi kwetu matukio yanafukiwa kanakwamba hayakutokea. Acheni watu walioguswa waseme itasaidia kupata ufumbuzi wa tatizo hilo
 2. Ngonalugali

  Wanawake wanaojiuza, si wale tu wanaosimama barabarani na kwenye baa

  Naona ishakuwa WW3 ......mi sio mtu wa namna yako. Aliyetangaza papucci inamlipa kama saccoss na baadae anakasirika kuhalalisha. N'way nina mradi wa ujenzi wa casino ya kisasa nitaomba uwe meneja wa mradi, ni ombi tu na ukiridhia ni pm.
 3. Ngonalugali

  Wanawake wanaojiuza, si wale tu wanaosimama barabarani na kwenye baa

  hiyo ni kwa mawasilianoo tu yaani ukisikia fyuuu ama druuuu basi ujue mtu kashiba. Unajua sipendi biashara holela unayofanya ni vema tukaunda saccoss kwa hicho kipochi manyoya chako kwani huna hiyana. Mi dalali na ukipata wenzako nawashauri muunde chama na napendekeza kiitwe CHAWAKU (chama cha...
 4. Ngonalugali

  Hivi wapo mabikra kuanzia 30yrs na kuendelea?

  Mimi nilikutana nayo mhusika akiwa na miaka 32. Baadae nikajashtuka ana motto mkubwa, sijui mtoto alimjamba ama aliingilia wapi???? Kuna ku-overhaul machine
 5. Ngonalugali

  Asante mpenzi wangu wa zamani

  Pole sana Maasai dada, njoo kwangu mimi sitakutenda.
 6. Ngonalugali

  Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

  Simu ni private, lakini kwa wapendanao hakuna haja ya kuficha ama kuwekeana mipaka. Ila kama inawezekana si vizuri kuchukua simu ya mwenzio kwa ajili ya kuichunguza. Uaminifu katika mapenzi ni jambo jema sana inapendeza kila mmoja kuwa kwa mwenzake badala ya kuwa na mashaka. mashaka huletwa na...
 7. Ngonalugali

  Hii ni kwenda na wakati ama maharage ya Mbeya?

  Bebii nambie. Ni mm peke yangu najua ila usisahau w'end hii tutakuwa California Dreamer. Uje na yule shogaako anayechanganya bia. Huwa sichoki kukaa nae
 8. Ngonalugali

  Hii ni kwenda na wakati ama maharage ya Mbeya?

  Nitonye hata kwa pm. Je, wewe ni ke ama me??
 9. Ngonalugali

  Wanawake wanaojiuza, si wale tu wanaosimama barabarani na kwenye baa

  mimi dalali tu aka kuwadi mkuu. Hakuna mtu kupata papucci mpaka awe amelipa dola. Inabidi kuweka viwango vizuri ili tutengeneze pesa nzuri. Hii inatakiwa ifunguliwe mapema kabla ya serikali kulasimisha biashara na kututaka tulipe kodi. Wakati serikali inashtuka sisi tulishazichanga za kutosha na...
 10. Ngonalugali

  Hii ni kwenda na wakati ama maharage ya Mbeya?

  Hilo la kuwa na boy wake mmoja nina mashaka nalo!!!! uwe na boy mmoja afu ukiitwa na mwanamme yeyote yule unaitika na katika mazingira yoyote. Iwe hotel ataenda, iwe barabarani ataenda ilimradi anajua jamaa ana change
 11. Ngonalugali

  Hii ni kwenda na wakati ama maharage ya Mbeya?

  Nitumie jina lake kwenye pm inawezekana sote tunamjua.
 12. Ngonalugali

  Ujumbe Kwa Wanawake mnaojiona wazuri

  Uzuri ni kama maua, kuna muda wa kuchanua na muda wa kufifia, ngoma ikipigwa saaana mwisho tobo kubwa hutokea. Thamani kubwa ya mwanadamu ni pamoja na heshima ya mwili wake. Miss Chawote ni jamvi la wageni, unakula kasha unafuta mdomo. usitake kujipaka michuzi. hakuna papuchi ya mrembo wala ya...
 13. Ngonalugali

  Wanawake wanaojiuza, si wale tu wanaosimama barabarani na kwenye baa

  Natamani kukujua ili niwe wakala wa hiyo papucci yako. Nikiwa dalali nitatengeneza pesa za kutosha na wewe utakuwa bilionea kuliko hata Bakhresa kwani nitakuuza kimataifa. Ni pm nikupe dili
 14. Ngonalugali

  Hii ni kwenda na wakati ama maharage ya Mbeya?

  Unafikiri neno gani ni zuri kutumika hapo?? Sijakusudia kumtukana ila naona kama mwenendo wake unatia mashaka
 15. Ngonalugali

  Mahusiano na Mitandao ya Jamii

  Asante kwa maombi yako nami naamini katika sala. Sikuwahi kuwa zoba katika mapenzi ila hili limenifunza kitu flani. Siku zoote nilikuwa naamini kuwa watu huwa wanaachwa kwa kutowajali wapenzi wao kumbe mengine ni manungayembe tu, yako mjini ku-test ladha tofauti. Ukimuona usoni utadhani...
Top Bottom