Recent content by Ngomikala

  1. N

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Nimechaguliwa medical lab mkuu Raelish, vip ww koz gan?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    nipo mkuu nimechaguliwa hapo, vipi uhakika wa chuo mkuu kimesajiliwa?
  3. N

    JamiiForums Tanzania vyuo vya Afya ngazi ya cheti na stashahada

    kaka vip ada kwa koz ya medical lab kwa day hapo namanyere?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    wakuu anayekifahamu chuo cha st.bakhita health inst centre namanyere sumbawanga ada yake kwa koz ya medical lab anijuze kwa day na boarding!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Asantee mungu kwa kufungua njia utabaki kuwa wewe tu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    kama chuo gani balvejmumt?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    jaman mbona bugando wametoa selection? vp nacte mbona kimya?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaochagua vyuo vya St. Joseph

    mtoa maada yuko sahihisi kabsa ila tuchambueni coz ya education ndo ina matatizo compus zotee!!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ataniua jamani

    haahaahaahaa unalo baba pole!!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    But kumbuka semina nazo kwa nurse zinapatkana kwa rushwa na kujuana mkuu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Haya ngoja tuwasubir hyo tar 25 cyo mbali! kikubwa ni kuomba mungu wakuu tuchaguliwe wote tukutane vyuoni....
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Day wana ngapi mkuu st aggrey?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    tumwachie mungu ndo anaejua mipango yetu juu ya selection hz wakuu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Jaman mbona kwangu najaribu kulong in inaniandikia time saver out? vp kwny profile zenu wakuu?
Back
Top Bottom