Recent content by ngomax

  1. N

    JamiiForums Tanzania Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Sababu watu wanamatatizo kweli, na fikra yao wanaamini wakienda matatizo yao yataisha wamejazana huko.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia, Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa kutoka Tanga kwenda Pemba changamoto sana

    Taarifa hazija tolewa, official page wanayo wanapost vitu vingine,
  4. N

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa kutoka Tanga kwenda Pemba changamoto sana

    Kuna abiria kutoka mikoa mbalimbali wamekwama bandarini sababu ya kukoseakana kwa boti ya kutoka Tanga kwenda Pemba , mtu umetoka Mwanza, Geita, morogoro safari ndefu ukijua Safari Yako itakamilika kama ulivyo panga , wakati huo kabla ujasafiri unapiga namba za huduma kwa wateja haipokelewi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tafiti zaonyesha Watanganyika na Wazanzibari hawautaki Muungano. Kura zipigwe upya ili wananchi waamue kuuvunja au ubakie

    Nikitazama barabara zinavyo jengwa hapa Pemba na miradi ya ujenzi ya serikali nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa ni pesa za Zanzibar ndio wanatumia, kwa kipato kipi walichonacho, mama katupiga hapa,
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

    Mwanamke asipo jua kupika anakosa sifa kubwa sana kwenye maisha yake haijalishi yupo hali gani ya maisha, mfano hai Kuna brother ameoa uyo mwanamke yeye kwenye swala la kupika kwake ni adhabu. Mwanamke hana kazi ni mama wa nyumbani tena hana majukumu mengine zaidi ya kushinda nyumbani, wana...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Mbona kama unaomba ushauri huku unamajibu tayari yako kichwani,
  8. N

    JamiiForums Tanzania Japo Tanzania na Zanzibar ni Nchi Moja, Lakini Kwenye Utoaji wa Haki, Zanzibar Wametupiga Bao!, Wameanza Mchakato wa Kuelekea Kwenye Smart Justice

    Nipo Pemba now , ivi hizi barabara zinazojengwa na kampuni ya Iris, kila chocho kiwango Cha rami , Unguja nako vilevile, atujapigwa kweli wa bara,?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Swali gani la darasani ukiulizwa hata ukiwa umeamka usingizini huwezi kukosa?

    Tafuta thamani ya x
  10. N

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Tarime TC tunakopwa kusimamia Mitihani ya Mock kisha tutalipwa baada ya miaka miwili

    Hahaha! kweli, ila mimi sio mwalimu nipo zangu nachoronga miamba huku Wete,
  11. N

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Tarime TC tunakopwa kusimamia Mitihani ya Mock kisha tutalipwa baada ya miaka miwili

    Acha kudharau kazi za watu hata kama wewe upo juu, ulimbukeni unakusumbua , kasumba ya kujifanya unajua kila kitu hilo ni Moja ya tatizo la afya ya akili,
  12. N

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Tarime TC tunakopwa kusimamia Mitihani ya Mock kisha tutalipwa baada ya miaka miwili

    Punguzeni itifaki basi, kuchamba kwingi mwisho wake kuondoka na ............, Sioni kosa la mtoa mada, mwambieni Melo, aweke vigezo kuwa member wa Jf mpaka uwe na sifa zipi? Oja nzito ni zipi? acheni ushamba kuona kila kitu wajua wewe na kudharau wengine, mimi nakuona limbukeni tu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

    Nimejikuta nasoma wote kutoka 1-13 mpaka giza , ujinga tu!!! , natafuta namba ya mwajuma kumbe nilisha ifuta na kujiapiza sifanyi tena,
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la afya ya akili linavyomaliza wengi kimyakimya

    Mtu akifa kwa kujinyonga ni ubinafsi mkubwa inabudi kuchapwa viboko hata kama kafa, kwa sababu unajiangalia wewe kuliko unao waacha , mtu akifa kafa hata ajitambui maumivu kwa wanao baki
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hizi project zinazo endelea Pemba zipo Kasi sana kipindi hichi?

    Nimepata safari ya kikazi kwenda Zanzibar kisiwa Cha Pemba , safari yangu ilianzia Tanga na boti ya Zanzibar 3 safari ilikua ya lisaa ,nilicho jionea Pemba Ina miradi mingi sana ya serikali inatekelezwa awamu hii barabara kila mtaa kiwango Cha rami , shule za golofa , na inaenda kwa kasi...
Back
Top Bottom