Nchi yoyote ile duniani hutegeme wafanyabishara kulipa kodi ili kuborsha baazi ya huduma za kijamii
Wilaya ya kilombero inachangia pato la taiga kwa mwaka kutokana na vyanzo vyake vyake vya mapato hususani zao la mpunga.
Ila hapa zana imekuwa tofauti kwani zao moja ushuru mara mbili yani ginia...
Tunaposema nchi ya viwanda tunatizama mambo mengi ya kimsingi ambayo ni muhimu kwa jamii na kwa dunia pia.
Huwezi kuwa na sera ya viwanda halafu ukashindwa kusimamia misitu lazima utakuwa mtu wa hovyo.
Tuitizame Shinyanga ilivyo jangwa. Leo Morogoro bila Mbunge, Mkuu wa mkoa, Mkuu wa wilaya...
Naingalia taifa stars kwa jicho la tatu kuelekea afcon misri,
Niukweli usiofichika baadhi ya ligi barani ulaya zimeshatamatika na zingine zipo hatua ya mwisho lakini bado najiuliza TFF nimaandalizi yapi wameanza nayo kuhakikisha wanaandaa mfumo wa ushindani kwa vijana wetu au maandalizi yanaanza...
Wewe nani?????
Unashindwa kujua kauli zako za kiburi sio lolote mbele ya mungu?
Au umesahau ulipokalia walikuepo watu na busara zao walikuapo na walikuwa na kauli za kujenga taifa.
Cheo ni zamana tu wapo wanamadaraka makubwa tofauti na wewe tena hata zarau na kiburi hawana
""""HESHIMU KATIBA...
Tatizo letu watanzania tumekalia umbea mganda anatumia msiba wa dr mengi kutengeneza fursa za kuuza beji zenye picha ya hayati dr mengi ilihali sisi tulienda kushangaa jeneza na kuangalia nani kapendeza
R. I. P mzee wa fahari ya wanyonge #DR MENGI
Tatizo baazi ya wschungaji wamechanganya dini na siasa sishangai yanayomkuta gwajima na kanisa lake ingawa mbele ya macho ya kibinadam umejaribu kujitetea lakini mbele ya mungu wewe ni mwema????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.