Ni lini amesomewa hilo shtaka la Uhaini?
It was just tuhuma za Polisi, hajapelekwa Mahakamani kwa Shtaka lolote so far, hivyo kusema kwamba kapata dhamana kwenye Shtaka lisilo na dhamana ni kujipotosha.
It was just a mere hearsay haikuwa rasmi kuhusu Shtaka gani atakaloshtakiwa nalo.
Hata...
Apumzike kwa amani Valley binti mkarimu na Mpole sana.
Nitaimiss ile sauti yake ya upole yenye utulivu mwingi.
Aliunganisha wana JF wengi, alijali shida za wengine.
Hongereni sana kwa kusimama imara.
Vita hizo ni ishara kwamba hamjatusaliti, taarifa zetu zipo salama na hamuingiliki katika angle hiyo.
Tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu chenye majaribu mengi, free speech will always win.
Mliingizwa kwenye mfumo, wakajiaminisha kwamba tayari mmekuwa wakwao sasa mkifanya yasiyowafurahisha huwa wanafura kwa hasira.
Kwa sasa wapo wengi miongoni mwenu machoni ni wenzenu lakini gizani na kiushirika sio wenzenu.
Huyo mratibu wa Mikopo unayemshauri amalizane naye ndio mtaka Rushwa na au kinara wa Kuratibu syndication yao.
Kamati inayopitia maombi hayo huwa wanatawaliwa na ubinafsi na pia huangalia wale walio karibu yao zaidi na Mara nyingine hutoa kipaumbele kwa wale Watoa rushwa.
Kama mshahara wake...
Subiria Mwaka Ujao wa Fedha.
Na jinsi ilivyo ni lazima Halmshauri husika ihusike kwenye sehemu yake.
Tatizo huko Kwenye mahalmashauri mnakunjiana sana na pia mikopo hiyo inatawaliwa na Lobbying, Syndicate Pamoja na Rushwa kwa baadhi ya Ma HR.
Umetoa tahadhari ya kweli Kabisa.
Nina ndugu yangu alipata mkasa mkubwa alinunua gari kumbe liliibwa South na Mmliki aliuwawa katika tukio Hilo, maaskari wa Interpol wakabaini lipo Tanzania, kesi ilimtesa sana alikaa segerea miezi kadhaa.
Ilihitaji fedha, Muda na connection kuhakikisha...
Pamoja na kero zozote kutoka kwa ndugu wa karibu wanaosababisha frustrations za maisha usifikirie kupotea au kuwa mahali pasipojulikana.
Uamuzi wa namna hiyo utaacha maumivu makubws kwa wapendwa wako haswa mama na mtoto.
Muhimu ni kujitenga nao na mambo yao na kuacha kuchangamana nao, chagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.