rmashauri; Asante mkuu kwa kontakti ina nina swali, products zenu mna import kutoka nchi gani?
Mkuu naona una wasiwasi na vitu toka China, siyo? Mpaka kiandikwe made in England/UK, Germany, Italy, nk ndo angalau uwe na imani na ubora wake. Kuna vitu vingi sana vinatengenezwa China bado vipo...