Recent content by Ngisi

  1. N

    Pambanua

    mzee jua tafauti kati ya binaadamu a mnyama ni akili. Mnyama hatahukumiwa kwani hana akili. lkn binaadamu atahukumiwa akitumia vibaya akili yake. kwa hivyo unachotakiwa sasa ni kusoma kiundani Dini mbili hizi sio kwa mtazamo wa jujuu tu. soma viatabu vya diini hizi mbili na utapata jibu sahihi...
  2. N

    Pambanua

    HISTORIA YA DINI: dini imeanzia wapi? Tukiichukulia dini kwa maana ya aina Fulani ya mfumo wa maisha uliochaguliwa na kufuatawa na Jamii Fulani ya wanadamu. Tutagundua kwamba historia ya dini inaenda sambasamba na historia ya kuanza kuwepo kwa mwanadamu katika maisha ya ulimwengu huu. Hili ni...
  3. N

    katibu mkuu WEMA zanzibar

    KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU -ZANZIBAR naamini wewe ni mmoja ya watendaji wazuri katika wizara ya Elimu Zanzibar ambae licha ya kuwa na uchungu na Elimu lkn ni mmoja ya unaofatilia kwa karibu mfumo wa Elimu Zanzibar na Tanzania,ni mfumo uiobadika katika vyuo vya Serekali na taasisi...
  4. N

    Yuko Wapi Mzee Mwanakijiji?

    nadhani tayari na yeye ametekwa na mafisadi. si unajua mambo ya mapesa haimtupi mtu
  5. N

    Mkutano wa Waislam Mnazi mmoja - Kura ya kundi inaleta maana?

    mimi nadhani mwanakijiji sasa anahangaika kutupaitia huo waraka wa waislam na kuuweka ktk net. kwani ni mtu asie na ubaguzi kabisa
  6. N

    Mungu hakuwa na mpango wa kuumba mwanamke?

    inawezekana hiyo biblia uneikota manzese. lkn pia inawezekana unampango wa kumkana mzee wako wa kike kama ndie aliekuzaa
Back
Top Bottom