Mkutano wa Waislam Mnazi mmoja - Kura ya kundi inaleta maana?

Ni mwongozo mzuri kabisa ya kupiga kura kama Muislamu na si Mtanzania,ukweli wamepiga kura kama Watz na hakuna wanalopata zaidi ya marungu ,na hapa ndipo CCM itakapoumbuka ikumbukwe tu asilimia 75 ya waTz ni waislamu.

Nijuavyo mimi ni kuwa zaidi ya 75% ya inmates ktk magereza ya Tz ni wasilamu..he he he..
 
mkitaka vita tutawachinja kama kuku mkimbie kabisa bara pale, ala .uhuru tuwaoiganie na sasa mnataka mtututawale mumshukuru kweli yule jamaa nyerere aliwadumbukiza wakristo kwenye system kidogo kidogo ndani ya miaka yake ya uongozi dah

Yaani wewe unataka kumchinja MTz mwenzako kwa sababu ya dini ya Mwarabu mmoja asiyejua kusoma na kuandika, aliyepagawa na mapepo na kuishi pangoni pamoja na majini?

lo salale!
 
Ni mwongozo mzuri kabisa ya kupiga kura kama Muislamu na si Mtanzania,ukweli wamepiga kura kama Watz na hakuna wanalopata zaidi ya marungu ,na hapa ndipo CCM itakapoumbuka ikumbukwe tu asilimia 75 ya waTz ni waislamu.

Mkuu mwiba umepata wapi hizo data.Maana sensa zote zinazofanyika Tanzania hakuna mahali kipengele cha dini.Nijuayo mimi waislamu ni asilimia 95 bwa ha ha ha !
 
Hivi nauliza huu waraka kwanini unaitwa wa WAISALAAM badala ya SHURA YA MAIMAMU mbona ule mwingine unaitwa waraka wa WAKATOLIKI sio WAWAIKRISTO??
 
Ni mwongozo mzuri kabisa ya kupiga kura kama Muislamu na si Mtanzania,.............................,na hapa ndipo CCM itakapoumbuka ikumbukwe tu asilimia 75 ya waTz ni waislamu.

Nakumbuka kwenye Tanzania Demographic and Health Survey ya 2004/2005 ukurasa wa 28 ilionekana kuwa katika Tanzania (bara na visiwani) asilimia ya Waislamu ni 30%, Wakatoliki ni 28.5 %, Waprotestant 29.0 % na Wasiokuwa na Dini 12.4 %. I stand to be corrected.
 
Jamani... Hawa Masheik na wafuasi wao Waislamu hawataki kukabili hoja... Badala ya kuushambulia ufisadi, wanaelekea kushambulia Serikali na kanisa tu... Naomba Mungu huo usiwe msimamo wa Waislamu wote.

Kama kuna mwenye Waraka wao huo, atupostie hapa tuuchambue zaidi ya kuamini matamko tu waliyotoa pale Mnazi mmoja.

Siamini kura ya kundi itaondoa ufisadi.. labda itawaweka wao madarakani waendelee na ufisadi!!!
 
Kwa Mashehe waliokuwa Mnazi mmoja, wenye dini nyingine ambao wao wanawaita makafiri, si Watanzania au ni second class citizens. Hivyo wao Waislamu ni wengi zaidi, au wana haki zaidi kuliko wote!!!!!
 
Ni mwongozo mzuri kabisa ya kupiga kura kama Muislamu na si Mtanzania,ukweli wamepiga kura kama Watz na hakuna wanalopata zaidi ya marungu ,na hapa ndipo CCM itakapoumbuka ikumbukwe tu asilimia 75 ya waTz ni waislamu.

Hiyo Statistics umeitoa wapi mwenzetu?? Au ndiyo propaganda zingine!!!!!
 
Unajua waislamu kutokana na historia yao ya kulipua na mabomu na shari za hapa na pale wanadhani hakuna wakristu tulio beyong ya hapo walipofika wao.

Shime wakristu wenzangu huu ndio muda wa kusimama imara kuliko nyakati zote, MUNGU wa Israel lazima atapigana upande wetu.

Lolote liwe, kama ni mapigano na yaje tuu, tutapigana tuu, watakaobaki watafaidi matunda ya ushujaa wetu

Sijui mtasemaje wakati KKKT na Anglican wakishusha waraka wao.

Hivi Wakatoliki ndo representative wa wakristu wote huko Tanzania.

Nini tamko la KKKT na Anglican kuhusu waraka wa wakatoliki?
 
Nataka kutoa angalizo,unaposema waislam ni 75% ya watz,hizo data umepata wapi?hata kama ni kweli ni aina gani ya waislam kwa idadi ya kutosha bado hawajakubali na hawajaelewa madai yenu,hasa mahakama ya kadhi..kuweni makini na hizo data..katiba na mfumo wa serikali hausupport kadhi..tubadilishe mfumo na hapo utahitaji watanzania wengine ambao sio waislam kwani inchi ni yao pia hata kama data zenu zinaonyesha kuwa ni wachache..ushauri_elewaneni nyie kwanza halafu waelewesheni wale ambao sio waislam..maswala ya kupiga kura kwa kundi au kulazimisha hayatawasaidi kwa sababu legal system ilivyo sasa haiwezekani..mtu hasiwape false hopes..!!!
 
Nadhani wote Mmeshiba nyie na Amani imewakinai ,sasa mnatamani kuona Damu zenu zikimwagika sio Bure.
utafikia wakati nyie endeleeni tu kila moja kujiona ni mbora kuliko mwengine ikumbukwe source ilikuwa UFISADI Lakini kumbe Kulikuwa na UDINI Umejificha. Muungwa akivuliwa nguo huchutama.... Hakika kilichotokea Rwanda kitakuwa ni trailer ya movie yetu. Tanzania leo kuna mkristu kaoa Muislam, na Muislam kaoa pia asiye kuwa Muislam. Nawahurumie Ndugu zangu WATANZANIA mnaomwaga petroli katika tanuri la moto Tukanieni Dini zenu ila mkae mkijuwa hizi hizi Comment zenu zinapandikiza mbegu. wengi wanazisoma na wanizifanyia kazi pia na Washari taratibu wameanza kuonekana.
 
Hivi kweli mashehe wetu wanachaguliwaje? Je katika mafunzo yao ya ushehe huwa wanapata elimu pana zaidi ya dini tu? Nauliza kwa vile niliwahi kutembelea chuo cha mapadri pale Kipalapala nikagundua kuwa masomo yao ya dini yapo kama manne au matano tu kati ya masomo yote wanayosoma ambayo ni zaidi ya kumi. Masomo ya dini wanayosoma mapadri ni pamoja na Agano la Kale, Agano Jipya, Uislamu, Historia na Sheria za Ukatoliki. Zaidi ya masomo hayo ya dini, wanasoma masomo mengine ya humanities kama Philosophy, Sociology, Psychology, na mengineyo yanayowawezesha kuwamudu vizuri waumini na kuongea nao vizuri. Siyo kawaida kumsikia padri akihubiri kwa jazba au akibishana na watu; nadhani hii inaweza kuwa inatokana na training yao.

Sasa je mashehe wetu nao huwa wanapata training ya namna ya kina kuwawezesha kuwawelewa vizuri waumini wao na kuwa makini katika mahubiri yao zaidi ya elimu ya dini tu?
 
mimi nadhani mwanakijiji sasa anahangaika kutupaitia huo waraka wa waislam na kuuweka ktk net. kwani ni mtu asie na ubaguzi kabisa
 
Hivi hawa waislam hawawezi kujenga hoja bila kutaja au kutoa reference kwa wakatoliki au wakristo?

Mimi huwa siwaelewi hawa bandugu. Kwanza wanapingana wenyewe kwa wenyewe, BAKWATA HIVI WAO VILE (kwa wakristu hiyo haipo). Maandamano yao lazima yawe na vurugu (eg. mwembechai), kujitoa muhanga ni wao (nchi nyingi zinazotawaliwa kiislamu). Kwanza hawa ndugu zetu inabidi wamshukuru sana Nyerere. Maana kama asingetaifisha zile shule zilizokuwa zinamilikiwa na makanisa, gepu la kielimu lingekuwa kubwa zaidi ya lilivyo sasa. Wamisionari walikuwa wanajenga vitu vitatu kila wanapotua mahali fulani HOSPITALI, SHULE NA KANISA (eg Ndanda, Peramiho, etc.). Shule zao zilikuwa serious sana na zipo hivyo hadi leo na ndiyo maana zinaongoza kila matokeo yanapotoka. Wao wanabaki kulaumu tumeonewa, tumeonewa huku shule zao zikiwa chini kielimu. JAMANI AMKENI.
 
Mawazo kama haya ni tishio kubwa sana la amani yaani mtu mzima mweusi anajisifia na shule au utajiri wa mzungu ambaye katumia dini kututawala.

Hivi kweli kama sio Uhuru wewe mkristu mweusi ungeweza kwenda kusoma hizo shule za Kikatoliki?..Hivi kweli mnafahamu jinsi wazazi wetu walivyopata taabu ya elimu hadi wakaenda soma Uganda, Kenya na nchi jirani kiasi kwamba hadi tunapata Uhuru Tanzania ilikuwa na mainjinia wawili tu!.. waulize wazee wako watakwam,bia wengi wao wamesomekshwa na watu binafsi iwe wahindi, waarabu utafikiri walikuwa watoto yatima ndani ya nchi yao leo wewe unakuja hapa kusifia Ukoloni kwa sababu ya dini yako!..

Jamani huu ujinga wa dini na Udini mbona sasa umechukua hatua nyingine jambo ambalo nimekuwa nikiwaonya humu JF..
Sasa ebu fikireni ikiwa mimi nimewa tahadharisheni mapema kuhusu matokeo ya dini kuingilia siasa na mkasema haiwezi kuleta madhara, imekuwaje sasa hivi tayari mnarushiana makombora ya Udini tena mkiwa uchi wa nyama bila kuyatazama makalio yenu.. Nilitegemea nyie ndio mtakuwa wa kwanza kuelewa thamani ya Umoja wetu kumbe mnakuja hapa mkishikilia Biblia za Uongo kutangaza imani zenu ambazo hata kanisani hamuendi kusali...
Acheni Ujinga wenu..
 
Mkandara said:
Hivi kweli kama sio Uhuru wewe mkristu mweusi ungeweza kwenda kusoma hizo shule za Kikatoliki?..Hivi kweli mnafahamu jinsi wazazi wetu walivyopata taabu ya elimu hadi wakaenda soma Uganda, Kenya na nchi jirani kiasi kwamba hadi tunapata Uhuru Tanzania ilikuwa na mainjinia wawili tu!.. waulize wazee wako watakwam,bia wengi wao wamesomekshwa na watu binafsi iwe wahindi, waarabu utafikiri walikuwa watoto yatima ndani ya nchi yao leo wewe unakuja hapa kusifia Ukoloni kwa sababu ya dini yako!..

Mkandara,

..kuna Waislamu wengi tu wamesoma shule za Kanisa na hawakulazimika kubadili dini.

..pia kama Katoliki walikuwa wanaweka vikwazo wenyeji walikuwa na uwezo wa kujenga shule zao wenyewe.

..kuna maeneo mengi ya Tanganyika ambapo wenyeji walijenga shule nyingi zikiwa za msingi.

..hata vyama vya ushirika kama Nyanza Coorporation na KNCU vilikuwa vinatoa elimu kwa watoto wa wanachama wao.

..maeneo ya kwetu harakati za kudai Uhuru zilianzishwa na vijana ambao baadhi yao walipata elimu ktk shule za Kanisa na za Mkoloni.
 
Back
Top Bottom