Recent content by Ngilish

  1. Ngilish

    Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

    Tanzania Ukipewa Leseni Ya Biashara Hakuna Anaye Kufwatilia Tena, Mpaka Kutekee Janga au Tatizo Ndo Wakumbuke.
  2. Ngilish

    Ridhuani Mringo: Another billionaire entrepreneur to watch!

    Vipi hizi Nguzo za Zege za meme, zina jina ya Derm
  3. Ngilish

    Ndugu zangu punguzeni umalaya utanishukuru baadae.

    Ulikuwa una tumia shingapi kwa malaya mmoja..?? tupe uzoefu..
  4. Ngilish

    Kwa Tanzania,kuna fursa nzuri sana inayotokota ya kuuza gesi yake katika kanda hii au hata Ulaya.Je,itaweza kuchangamkia soko hilo?

    Habarini wana Jamvi. Tuelekee katika hoja kama inavosema. Kwa Tanzania,kuna fursa nzuri sana inayotokota ya kuuza gesi yake katika kanda hii au hata Ulaya.Je,itaweza kuchangamkia soko hilo? Mimi ninavojua pale kunapotokea majanga tofauti tofautui Duniani, Kuna Mataifa mengine yanayonufaika...
  5. Ngilish

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mbona Mr Tramp, amesha zungumza na kutoa msimamo wake. Amesema kwamba, Obama alimuacha Russia Achukue Krimia, Baideni Kamuacha tena Russia anataka achukue tena Ukraine. If a I was me.......... Kwa sasa hivi USA tunaongozwa na ma Stupidity ambao awajuwi nini maana ya USA, na tupo kwajili gani...
  6. Ngilish

    Kumbe anayehitaji kutibiwa na Serikali Tanzania nzima ni Profesa Jay tu na wengine wajitibie wenyewe?

    Tanzania tuna safari ndefu sana ya kujitambu na kujuwa wapi tuna takiwa tuelekee. Asante mtoa mada kwa mawazo mazuri.
  7. Ngilish

    Usiombe ukutwe na hali hii mchana huu wa jua kali!?

    Daaaah maisha Magumu. Kama Comments Zenu.[emoji24][emoji24][emoji24]
  8. Ngilish

    Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

    Azam ni Babalao Bongo, nine nunua decoder ya Startime mpaka nimejuta. ila kwa sasa na Enjoy na Azam Tv. Kwa Bongo Azam inakuja kwa kasi sana, Wame invest pesa nyingi sana kwanye Entertainment ya Tanzania, na Return wanaziona.
  9. Ngilish

    Ni brand gani ya solar zenye nguvu ya kufanya kazi hata kwenye jua hafifu??

    Mono iko vizuri sana, lakikini ukipata brand ya Sunshine or Prosolar zipo vizuri sana.
  10. Ngilish

    Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Mbona uniulizi mimi nime patia wapi hizi helaa?? Watu wengine banaa...
Back
Top Bottom