Recent content by ngidu walwa

  1. ngidu walwa

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kwa wanaohitaji vitabu vya namna bora ya ufugaji wa kuku wa kisasa, kienyeji na kilimo ,vipo katika soft copy tuwasiliane kwa 0754228411,vinahusu mada zifuatazo 1 jinsi ya kujenga banda 2 kulea vifaranga katika hatua zote muhimu 3 chakula cha kuku 4 kutunza mazao ya kuku kwa mda mrefu magonjwa...
  2. ngidu walwa

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    ki ukweli si biashara ya faida, bali inahitajika fedha kidogo tu mkuu kwani nimevipata kwa gharama,hivyo tunashare cost tu!!
  3. ngidu walwa

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    KWA MAHITAJI YA VITABU VYA KISWAHILI KUHUSU NAMNA BORA YA UFUGAJI KUKU WA KISASA,KIENYEJI(ASILI) NA KILIMO BORA,TUNA VITABU VIZURI 1 Chanjo na tiba ya majonjwa ya kuku 2 Hifadhi ya mayai kwa muda mrefu 3 Kulea vifaranga katika hatua zote muhimu 4 Kutengeneza vyakula vya kuku 5 Ufugaji bora...
  4. ngidu walwa

    Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

    Mi nilimpa kura yangu Kasulumbayh awe mbunge kwa sababu ni mzoefu wa siasa toka 1993 alichaguliwa kuwa diwani,mpaka leo na ubunge tukamuongezea. CCMabwepande walimteua m/kit(w), F4 failure asiye na uzoefu wowote,bado hajajitegemea analelewa kwao,mzee wa not na kadi za kufoji,kasulu na...
  5. ngidu walwa

    M4C yavuruga Chato kwa Magufuli. CCM yaambulia vijiji 3 kati ya 11. Bendera na kadi bado kikwazo

    safi sana;cdm,tuwapeleke mpera mpera mpaka wasikie,wakishtuka wanakuta mwari c wao tena,enough is enough 4 chechemeee(ccm),kaa mbali na ccm kwa maisha salama,ccm haikubaliki,wakinge uwapendao na ccm.
  6. ngidu walwa

    Mubarak ahukumiwa Kifungo cha Maisha Jela

    acha ufala wako wewe!!!!mwizi naye ni nani?,mapulende mkubwa we!!:israel:@majebere
  7. ngidu walwa

    Serikari yapiga marufuku mikutano ya kisiasa Dodoma

    hakuna ukomo wa uhuru wa watu kufanya assembling,hii mpya cjawahi sikia,basi watumie askari wa sungusungu na migambo,au hata hao hawatoshi!au pia na wao wanalinda wabungw! :disapointed:
  8. ngidu walwa

    Joshua Nassari Kumwoa Halima Mdee?

    :rockon:wabongo tutofautishw utani wa watu wakiwa wamejawa na furaha,kwake ni dadaake!
Back
Top Bottom