Mkapa alimnyonga hata bila kumfikisha mahakamani!! Huna habari??Acha lugha za uchochezi ww, katika watu waliostahiki kunyongwa ni Mwalimu Nyerere , yeye ndio matatizo yote tuliyonayo sasa ametusababishia yeye, ya muungano, umaskini kwa kuchukua rasilimali zetu kwenda kuuupigania vita vya kagera na ukombozi wa nchi za kiafrika. Halafu leo mlivyo vipofu eti mnataka kumtangaza mtakatifu, na maovu yote hayo.
Aliekua rais wa egypt hosni mubarak amehukumiwa kufungwa maisha jela. Source; aljazeera
Ww umaskini ulio nao ambao umesababishwa na yeye Mwl, Nyerere ww huoni huo ni wizi tosha? kuchukua rasilimali ya nchi na kumpa jirani yako bila idhini ya mwenye mali aka mwananchi huo sio wizi ? funguka kijana Nyerere ndio chanzo cha nchi hii kuwa maskini
Pole.
Muungano waliuanzisha Nyerere na Sheikh Karume. Umlaumu na Karume pia.
Natamani tutengane tuwaache waunguja na wapemba na nchi zao za Unguja na Pemba (kwani Zenji haitabaki moja).
We umeishiwa, eti kupigana kuzikomboa nchi zilizokuwa bado zinatawaliwa ni kitu kibaya??? hakuna jambo zuri kama kumkomboa anayeonewa.
Kumbe ww bora Rais wako angekuwa Mobutu, Kamuzu Banda, Kenyatta (wote vibaraka wa mabeberu) na hawa vibaraka mamboleo akina Jakaya Kikwete.
1. TUNAIHITAJI JAMHURI YA TANGANYIKA.
2. JK, RIZ-ONE, MKAPA MMEYAONA YA MUBARAK?
Acha lugha za uchochezi ww, katika watu waliostahiki kunyongwa ni Mwalimu Nyerere , yeye ndio matatizo yote tuliyonayo sasa ametusababishia yeye, ya muungano, umaskini kwa kuchukua rasilimali zetu kwenda kuuupigania vita vya kagera na ukombozi wa nchi za kiafrika. Halafu leo mlivyo vipofu eti mnataka kumtangaza mtakatifu, na maovu yote hayo.
Cdm bana mna mawazo finyu km punje ya mchanga, mnadhania nchi inachukuliwa kwa kutumbukiza vikaratasi kwenye visanduku tu, ni zaidi ya hapo. Mtaiota sana nchi hii , hatuwapi nchi hii wahuni
Jamaa anajiweka karibu na Wamerekani akifikiri wanaweza kumsaidia endapo mambo yatakwenda mrama hahahaha. Anatakiwa ajifunze, Americans have neither permanent friends nor permanent enemies but permanent interest.!!