Pole sana, wewe ni mgeni ktk Manispaa ya Moshi. Mabasi yote kutoka DSM, TANGA, ROMBO, ARUSHA, NAIROBI, n.k yanapitia kwenye mzunguko wa YMCA na mita kama 200 wanaingia kwenye mzunguko wa katikati ya Mji ie mnara wa saa, NBC Bank(Clock Tower), KNCU House, n.k kuelekea stand kuu ya mabasi ya mkoa...