Recent content by ngetela

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kariakoo haina umuhimu kwa uchumi wa nchi kama tunavyo aminishana Bongo lala

    Tuambie wewe una product gani ya ndani ulitusaidia kutengeneza ili tukusaidia tukuamini na kisomo chako cha kukariri
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

    Hoja mfu hii uvivu wa kufikiri biashara za kubahatisha?!!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania CCM Mkoa wa Rukwa mmeshindwa kutetea Wananchi wenu subirini hasira zao Oktoba 2024/25

    Aliyekataa kwamba mpemba siyo mji ni ww ila center ipo wapi tumia akili unatoka dar usiku mpaka ufike tunduma kutoka mpemba unafanyeje? au unaenda dar ulale mpemba au hiyo ni angalau mama wa hali ya chini ananunua parachichi na ndizi vwawa anapakia kwenye hiace ashushe mpemba apakie hadi tunduma...
  4. N

    JamiiForums Tanzania CCM Mkoa wa Rukwa mmeshindwa kutetea Wananchi wenu subirini hasira zao Oktoba 2024/25

    Tunduma napo ni hivyo hivyo km 7 mpemba hadi center akili za hawa watu wanazijua wenyewe wacha tukomolewe tu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la halmashauri mji Tunduma kuharibu masoko lina nia gani?

    Mfululizo wa kubomoa kuharibu masoko stendi na sehemu zingine za kazi umekuwa kwa kasi sana hapa tunduma. Hatukatai kuboresha mji lakini kwann huu ufanyaji kazi umekuwa kwa haraka kuharibu kila soko .Walianza na stendi wakahamishia kilometer 7 kutoka ilipokuwa ya awali yaani katikati ya mji...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameutendea haki Urais

    Hapo umenena mkuu hizi tabia za kujikomba Kwa watawala ndiyo maana ushoga unaenda Kwa kasi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Kwa ujinga huu unaoufanya mtatuharibia ndoa zetu sana rudini nyuma mjitafakari visa hivi ni vingi sana hasa kwa makanisa ya mlipuko. Mnajazana ujinga tu na miujiza hamjielewi hata hivyo nawapongeza wachungaji wa taasisi imara. Mimi ni mhanga wa visa kama hivi hivi kwann hamna akili au kwa kuwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza biashara ya viungo (spices)

    Nakushauri anza tu hata kwa mtaji mdogo mhimu zingatia labor nzuri changanya na vitu vya asili vilivyo adimu kisha washauri wateja .
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mteja wa iliki na pilipili manga whole sale, nipo Morogoro mjini

    Unauzaje kwa 1 kg mky
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nataka msomi mwenye shahada ya chuo kikuu business administration

    Mimi ni mfanyabiashara wa kawaida elimu ya kawaida sana. Nahitaji msomi mwenye shahada ya chuo kikuu business administration ili nisonge mbele kwa biashara zangu na ushauri. Aliye tayari anitafute seriously
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Jibu ni moja tu masilahi na tamaa za haraka za chadema
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini masoko mengi yanayoanzishwa na Serikali yanasuasua au kufa kabisa?

    Biashara ambayo ni maisha ya kila siku unaweka malengo ya miaka kumi ijayo then inakufa unabaki unashangaa?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini masoko mengi yanayoanzishwa na Serikali yanasuasua au kufa kabisa?

    Umenikumbusha mkuu stendi mfano tunduma ipo mwanzo wa mji mpemba villevile sumbawanga km 15 mpaka mjini hizi akili za wapi hizi mnataka watu wateseke
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini masoko mengi yanayoanzishwa na Serikali yanasuasua au kufa kabisa?

    Masoko mengi yanayoanzishwa na serikali yanasuasua au kufa kabisa mimi ni shahidi wa hili pia mhanga. Hili nimeliona Mbeya, Mlowo, Vwawa, Tunduma na kwa Dar kama Magomeni na Machinga Complex. Kwanini serikali hushindwa kuweka kuacha wafanyabiashara watengeneze wenyewe biashara zijiendeshe...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Ila haya makanisa yanavunja ndoa familia nyingi zinateseka kwa kukosa akili za wanawake na wanawake watoto wanabaki wanahangaika sijui tufanyeje!!!
Back
Top Bottom