Recent content by NGERESHAA

  1. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Boss naomba hiyo link au waweza nielekeza pa kuipata boss
  2. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Natabiri kuanzia Sasa hatakawia sana ,Wana jf Tukae mkao wa Burudani ya story yetu pedwa.
  3. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Namwombea na naamini atarudi akiwa mzima wa Afya kinyume na wanao mchuria. Naamini ni majukumu yamembana ata akipata Muda kidogo anaona kabisa hawezi kata kiu yetu ya muda mrefu
  4. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutumia jf.

    Ongeza nyama kidogo
  5. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutumia jf.

    Sasa ya zamani utaipateje
  6. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutumia jf.

    Habarini zaleo wana Jf naombeni msaada nikiingia huku siku hizi natatizika kweli,kitufe cha subscribe sikioni. nikitafuta kwa tabu baadhi ya uzi nilizokumsaawa nafwatilia nikikuta Episode 5 labda, kuipata ya sita au mwendelezo ni shida . Pia zamani kama unataka kusoma coment ulipoishia kusoma...
  7. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaompenda, kumjali na kumthamini bila kujificha Rais Samia

    '' mwogopeni Mungu yeye Aweza kuangamiza mwili na Roho pia x 2." Hayajua yote hata mawazo ya mioyo yetu, Mungu wetu ni wa Haki na wa wote, hukumu zake ni za Adili. Mwogope Mungu husikiliza haraka kilio cha anayeonewa , wajana na yatima na wasio na msaada. Mwogope!
  8. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Reviews: Wanawake wa Kitanga

    1.wanapenda mziki huku wanaita Dundo(uwe wa nyimbo za migegedo, huku kumwaga razi (kuvua nguo mziki ukikolea) pia Kuna ngoma ya kucheza uchi kumkaribisha mwali (wazigua 2.Shuhuli ndio Nyumbani kwao yaa hana haja ya kualika mtu akiona anajumuika 3.Vikoba,vikoba, vikoba, hapa ndio nilipo washidwa...
  9. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Wanangu wa VEGA 100 kueni makini

    Siku moja nipo na (ke) tupo room tuna fanya yetu, Mtoto analili Mimi Nguvu hamna. Nilishikwa shikwa mara nikanyonywa wapi! Nikamwambia mama tulle tu umefanya kila juhudi imeshindikana nisamehe ata Mimi sielewi Basi bwana tushajitawadha nimelala naangalia Mali ya maana kabisa alafu ndio hivyo...
  10. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Wanangu wa VEGA 100 kueni makini

    Fafanua kidogo nikama umetuacha, inasaidia nini?
  11. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER MAN atatuma tutamwona baada ya hii wiki nawapeni utabiri na mambo yatarejea. Atawapa A, B, C za kwanini alikuwa hapatikani. Yupo mzima kabisa, ila Kuna mambo kayapitia hapa Kati na safari nyingi. Tuvute subira
  12. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Msiogope ni uvumilivu tu unao hitajika, mwenyewe anajua kawaa ha na Arosto muda hivyo ataitoa yote, akiwa Sawa
  13. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kumlalamikia Insider Man kuwa hajaleta story, mara anakawia wakati mwingine ni upungufu wa akili, yaani aache Kazi na mipango yake muhimu ashinde humu? Kwa pato lipi analoingiza humu? Mtu yoyote ambaye ni Tajiri au anadalili za kuwa Tajiri mojawapo ya dalili ni Muda kutokutosha na ndio maana...
  14. NGERESHAA

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    JAMANI PAMOJA NA KUSTORIKA NA STORY NZURI SANA, KWA WALE KWENYE HELA HAWAJUI WAWEKEZE WAPI NIPO MKOA WA TANGA KWA SASA KUNA FURSA YA KUWEKEZA KWENYE MKONGE/KATANI. 1.Mashamba mapya sh 400,000 - 600,00. 2.Unang'oa visiki utapata faida ya mkaa ukichukua kibali kugoa ni kuanzia 200,000-300,00...
Back
Top Bottom