Recent content by Nge1

  1. Nge1

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

    Siku nyingine utumie kamera yenye ubora.
  2. Nge1

    JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza bei mpya ya vifurushi

    Makampuni ya mawasiliano yataongeza faida kutokana na ongezeko la watumiaji wa simu. Unakopwa simu ili ununue vocha wapate faida mara mbili. Hakuna mfanyabiashara anaetaka kukuonea huruma. Unakamuliwa mpaka damu zikauke kabisa.
  3. Nge1

    JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza bei mpya ya vifurushi

    Wapi?
  4. Nge1

    JamiiForums Tanzania Usiri ajira TISS

    Kama Uingereza tu
  5. Nge1

    JamiiForums Tanzania Usiri ajira TISS

    Kama wanaorithi wanaubora stahiki wacha iwe hivyo.
  6. Nge1

    JamiiForums Tanzania Wenye CCM Wasiogopwe

    Huyo Nape kichwani ni tabulalasa hamna kitu humo
  7. Nge1

    JamiiForums Tanzania Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Tuwekee picha tuone mkuu
  8. Nge1

    JamiiForums Tanzania Ni mnyama gani huyu jamani?

    Una uzoefu nato kumbe
  9. Nge1

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    Umetumia kigezo cha ufaulu pekee? ! ! Zanzibar ufaulu umeongezeka hivyo wanapaswa kuongezewa asilimia ya wanufaika wa ajira za Muungano. Bara ufaulu umepungua hivyo, wanapaswa kupungua pia katika asilimia za wanufaika wa ajira za Muungano. Kwanini tusitumie kigezo cha 'uwiano wa watu'...
  10. Nge1

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu ananigongea mlango usiku

    Tunamtia bakora ! ! Awache uzuzu
  11. Nge1

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu ananigongea mlango usiku

    Mchana anatembea kama 'Lokole' halafu ataki kugongewa usiku ! ! Jamaa mchicha, watu wanataka kuserereka
  12. Nge1

    JamiiForums Tanzania President Samia hires Tony Blair to help in the fight against COVID-19, and rebuild the country's reputation

    Anamlipa kiasi au kitu gani in return?
  13. Nge1

    JamiiForums Tanzania Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

    Anakingiwa kifua na nani mkuu?
Back
Top Bottom