Recent content by ngawia

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma Waingia Hatua Mpya Kuelekea AFCON 2027

    Dodoma kame sana dah
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba anayemjua Dr mzuri wa ENT Dsm

    Naomba kujuzwa Dr mzuri wa Koo pua na masikio Kuna kijana wangu anatakiwa kufanyiwa opereresheni ya nyama za pua hapa dar. Natanguliza shukrani
  3. N

    JamiiForums Tanzania HOJA Mkopo unanitesa sana, si jambo rahisi kama wengi wanavyofikiria

    Mkopo sio kuanzisha biashara ulibjgi aisee
  4. N

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaimarisha ufuatiliaji wa mto Ruvu

    Bomba limepasuka ukonga banana karibu na bar big jonh au mkabalas na Aviation house maji yaanamwagika ni mengi sana licha dawasa kupewa taarifa hamji kutenngeneza mwezi wa pili Sasa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Duh maisha ujanja wakati una mkopo ni hatari angejenga kwa kiwango hata kama anapata kidogo faida
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Niliwahi kusoma andiko la mdau hapa alianzisha kampuni ya ujenzi akawekeza nguvu zake nyingi kule alasahau shule na shule ilikuwa dhamana ya kukopea sijui kweli
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hospital Yenye kipimo cha aleji

    Cheki na nyama za pua pia huwa zinasumbia hivyo
  8. N

    JamiiForums Tanzania KERO Dawasa bomba limetoboka Mlima Ukonga Mwezi sasa hakuna matengenezo yoyote

    Ilifanyiwa kazi mkuu ila baada muda sana na mapambano mengi
  9. N

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maneno Banana Ukonga mkabala na Aviation house toka mwezi wa nne

    Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maneno banana ukonga mkabala na Aviation house toka mwezi wa nne mpaka Sasa tumetoka taarifa DAWASA Kinyerezi na wamefika hakuna utatuzi wowote. Maji yanayomwagika ni Mengi na yanasambaa kwenye makazi ya watu Mamlaka husika hasa mh Waziri tunaomba msaada wako...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana TBC kuonesha kombe la dunia

    Wanaonyesha mechi 34 tu kati ya 104
  11. N

    JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu mibaya ya choo Stendi ya Bweri (Musoma)

    Dah nilikutumia wakati natoka musoma to Dar hali ya hivyo vyoo ni mbaya sana sijui pesa wanaochaji inaenda wapi isifanye ukarabati
  12. N

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaja na operesheni siku 90 kudhibiti upotevu wa maji

    Waje banana ukonga karibu na aviation house maji yanatiririka kama mfereji wa humuzi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

    rutty ni winga
Back
Top Bottom